Wamekazana kulinda haki za wasanii kumbe ni maigizo siyo movieShida ni Vigezo aina ya Camera, Qualification za Directors na hata uzalishaji tu wa picha na sauti mfano Sauti lazima iwe certified na Dolby sasa huo uwezo bado ndugu
kwamba anayejitambua awezi kuangaliaSidhani kama movie zetu zina viwango vya kuingia Netflix.
Nilishawahi kusikia soundtracks za interstellar, gladiator na transformers kwenye movie za bongomovie
Soundtracks ambazo huwa wanazitoa YouTube.
Tatizo kubwa jingine ni soundtrack kushindwa kuendana na scene ya movie husika.
Mpaka hapo hilo ni tatizo la kukosa ubunifu hivyo mtu anayejitambua hawezi kuangalia hizo movie.
Siku wakibadilika labda watu wataanza kuangalia movie zao.
Hakuna uzalendo kwenye vitu vibovu.
Kutojiamini na kutokuwa na ubora wa maanaNimejaribu Mara kadhaa kutafuta Ila hakuna movie ya kibongo lakini kwa wenzetu wakenya naona wameweka movie zao.
Swali linakuja inawezekana bongomovie hazijafikia level za kimataifa au vipi?
Movie ni ingizo sio kweli mburukenge wewe, acha kudharau vyetu, kuwa mzalendoSisi hatuna movie tuna maigizo. Tafuta maigizo utapata
TakatakaMovie ni ingizo sio kweli mburukenge wewe, acha kudharau vyetu, kuwa mzalendo
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
😂 😂 😂Siyo kuvua viatu, unakuta jambazi aendani na uhalisia wake, unakuta jambazi beautiful na anapepesa macho atafikiri shoga
tusubiri ya idris sultanBongo ujinga mwingi script unaandika kwa saa 4 tu, hamna cha maana kabisa zaidi "baada ya Juma kumuona amina baa na Sadiki aliwasogelea wakati huo huo akatoa postol yake aloitunza kiunoni mwake,
"siamini unanifanyia hivi Amina(Juma anaanza kulia)"
"Hee ilitaka nifanyeje sasa ? (ki soundtrack uchwara kinaanza ndi ndi ndi)" mara giza
WATCH OUT PART TWO.
Ukiachana na soga za hapo juu kuna sababu kama tatu za msingi zinazofanha movie zetu ziwe below the line .
1. Kazi kufanywa na watu wasio na elimu/vipaji/ Utaalamu wowote ule.
Umebangaiza na kununua camera huyo ushakuwa director, baada ya kupata software ya Adobe Premiere ambayo nayo hata ujai 'master' vizuri unaanza kuganga njaa mtahani kwa kupoka pesa za waigizaji ambao nao maybe hawana hata focus (a blind expected to tell the deaf that the road is narrowing ahead). Unakuta scene daktari anaongea na mgonjwa mcheki vizuri sasa ana rasta kichwani, sijui yuko busy mno hata nywele ajachana mbaya zaidi maneno anayoongea niya kipuuzi sana in short una take risk za ku 'act' scene ambayo hauna nayo any preliminary concept about.
2. Kuwa na haraka ya ovyo ovyo.
Muvi nyingi za bongo wanapenda kufikia mwisho mapema too pathetic!, scripts headless zinamuonesha mzee mmoja tajiri hivi akowa na trip za kutoka ofisini kwenda bar/home lakini nothing has been told clearly of his source of income, the business he has been into yaani mambo ya paa a guy is rich from nowhere.
3.Poor production and alot of blah blah.
Unaigiza muvi unataka u shoot lwa bajeti ya bei za matenga mawili ya mapapai , ujaandaa any costume, transport fare yaani plus na script taka taka.
The collection of our horrible stuffs had to be even dumped from Youtube or even be suspended from being aired for 3 years,something wonderful would have come and not this garbage bongo movie..
I am enraged and about to explode soon, I can' t bear writing any longer
Hata ya Harmo [b#] Washa Taa....Hatuna muvi hata moja yenye viwango vyakuingia netflix