Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
Heri ya Mwaka Mpya 2021,
Habari gani wakubwa na wadogo humu jamvini.! Natumaini hamjambo kabisa.
Acha niende kwenye mada moja kwa moja.! Kama maada inavyojieleza. Tangu teknolojia ya simu janja ifike Afrika ya mashariki hasa hasa Tanzania, tumekuwa tukiitumia in built Message app ya simu zetu kwa ajili ya Kutuma text za herufi pekee yake lli hali message app (Regardless ni iOS, Android au Huawei ) Hizi huduma hazikubali ku operate kwa Tanzania!
Ukiachana na hiyo pia kuna huduma nyingine kama
1. Voicemail
2. Faceapp
Hizi huduma hapa Kwetu Tanzania hazipo, je kuna sababu zozote nisizozijua .!?? Au kama zipo anayejua namna ya set up ili uweze kutumia.
Karibu tujadili .!