Nini sababu ya shule za Kiislamu kuungua kipindi hiki? Mivumoni Islamiki nayo inaungua muda huu!

Majini awamu hi ya utiaji wa nia za madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣
Nayo yanatibukwa ovyo.
Full kukiwasha
Ulishawahi kuwa na nyumba halafu ukapigiwa simu kwamba inaunguwa, ulijisikiaje/utajisikiaje ukiwakuta majirani wanachekelea na kufurahia kitendo hicho?

Ukifurahia maumivu ya mwenzako, ujue wewe nawe yako njiani kuja?

Ona huruma panapostahili huruma Kwa kuwa hata wewe shida hizo ni lazima zikupate
 
Back
Top Bottom