Nini sababu ya mtu kubanwa na haja kubwa kwa ghafla inapotokea mshtuko au taarifa mbaya

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Wakuu hii ishu imenitokea leo na si mara ya kwanza kubanwa na uharisho nnapopata wasiwasi au habari mbaya
Wataalam hii ipo vipi?
 
Duh nadhani hii inahusiana na zile homoni za fright,fight na nini sijui...ila mmmh...sijui
 
Nasubr majibu kwa hamu maana,,,,,,,,mmh naielewa hyo hali sana japo sjui inatokea vpi,,
 
1468950035963.jpg


Jitahidi uwe unatembea na pedi
 
Kuna watu wanajibu ujinga,kama huna la msingi bora usichangie tu,kwakweli hiyo hali huwa inawatokea watu wengi hadi mimi pia huwa inanitokea so usizani kama uko peke yako au ukazani ni tatizo hapana,mimi si mtaalamu zaidi lakini hili linahusiana na swala zima Hormone(Adrenal).
Na si kujisikia haja kubwa tu sometime mapigo yamoyo huenda mbio mpaka kujisikia kuanguka,kutetemeka,kushindwa kuongea n.k
Kwahiyo mimi naona hakuna shida hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom