Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

Kuna mwingina unakuta anasikia sauti za mivumo mingi sikioni na macho kuona ukungu, ila sikio haliumi wala kuwasha wala kutoa uchafu.. Tatizo huwa ni mishipa ya fahamu
 
Kuna mwingina unakuta anasikia sauti za mivumo mingi sikioni na macho kuona ukungu, ila sikio haliumi wala kuwasha wala kutoa uchafu.. Tatizo huwa ni mishipa ya fahamu
Kuna tiba yyte ya hii hali? Mm nasikia Sauti sauti masikioni ila macho yapo vzr, may kupata kizungu zungu mara chache kdg.
 
Hicho kizunguzungu husababishwa na mishipa ya fahamu kwenye masikio kuwa mibovu.. Kuna dawa ya mishipa inaitwa neuroton inaweza kukusaidia.
 
Hydrogen Peroxide inahusika
Jamani nami nasumbuliwa na tatizo hili la kutokusikia yaani naweza sikia lakini nisielewe kinachozungumzwa,pia uchafu hautoki masikioni kiasi kwamba yameziba hata maji hayapiti.Naombeni ushauri wenu wapendwa
 
Kama hauna access na hosp tumia Boric Acid ear drop. Weka tone 1 kila siku kabla ya kulala kwa muda wa siku 7.
Warning: USICHOKONOE SIKIO KWA PAMBA, sikio lina self system ya kujisafisha. Ukifanya hivyo utasababisha matatizo makubwa zaidi
 
Nimekua nikisumbuliwa na hili tatizo kwa zaidi ya mwaka wa 10 nikilichukulia poa tu. masikio yangu sigusishi maji kabisa, ikitokea kwa bahati mbaya hasa kwenye wakati wa kuoga maji ya kugusagusa kwa ndani basi kinachofata hapo ni maumivu kwa siku nzima japo kua hua simakubwa. Je hili nikawaida au ni tatizo? Kwa kifupi naishi mbali na maji karibu na sikio.

Na pia sewezi eka headset and headphone kwenye sikio langu kwani dakika moja tu itanitosheleza kuleta maumivu ya masikio kwa masaa na muda mwengine yakiambatana na maumivu ya kichwa. Ila kila nikitizama wenzangu wanajifanyia vizuri tu. Hata simu nikizungumza kwa muda mrefu kiodogo tu au simu ikiawa na sauti kubwa basi matokezeo ndio hayo hayo.

Je, hii ni hali ya kawaida au ni ugonjwa? na kama ugonjwa naomba msaada wakuu.
 
Huo ni ugonjwa mkuu na sio kawaida kabisa
Inawezekana ni nta iliyojengeka kwa mda mrefu kwenye masikio
Kwa ushauri jaribu kuchukua olive oil na uweke kwenye masikio kama matane matatu kila sikio kwa muda wa wiki 2 na ukiwa unaoga weka pamba ili maji yasiingie
Olive oil husaidia sana kusafisha na ni dawa wala haina madhara yeyote zaidi ya faida
 
Nakumbuka nikiwa mdogo nilipatwa na tatizo la sikio, niliumwa sana ila what i can advice ni kuwa kama kuna mafuta ya bata (i guess kama sijasahau) ni mazuri ku control hali uliyonayo awali ila baadae ufike either pharmacy kubwa yenye waatalam wa kujua dawa, dispensary au hospital. Kuna dawa zaina nyingi ila za kutumia drop process ndio njema zaidi. Na kama maumivu yanakupelekea kuumwa kichwa tumia pain killers.
 
Nenda kwa wataalamu wa hayo makitu (maskio, pua na koo), shida kwako iko ndani, si ya kutumia madawa ya kienyeji labda tu Mungu afanye yake kupitia hayo madawa.
 
dos.2020, Pole sana mkuu, Mungu akufanyie wepesi uweze epukana na dhahma hii.....
Lakini...... Haujawahi kunyonywa ama kutiliwa ndimi kwenye masikio wakati wa faragha..!!??
 
Onana na specialist wa Ear Nose and Throat
Yaan tangu nikujue hujawah kuongea pumba asee.mkuu msikize sky eclat.hata mm niliumwa na masikio haad nilinyoosha mikono juu kwa sauti ya christian bella.

Nilizunguka sana haad nkaamua siku 1 kugombana na madaktari wa kairuki baas wakaniruhusu nikawaone ent ghoroma la juu asee niseme nilichokiona siri yangu na ubaya dawa dr anakuwekea anaificha unarudi hivohivo sasa nenda madukani hiyo dawa haipo dadeeeek nkasema ndiyondiyo ngojea nireseat hapa pcb ndo ninamalizia paper mkuu.
 
Jamani nisaidie dawa ya sikio linavuma sana usiku, nikitumia antibiotics lina acha zikiisha dawa linarud tena sasa mpk kichwa nimeanza kuuma upande huo Wa kushoto karibu na sikio tafadhali msaada
 
Back
Top Bottom