Nini sababu ya kulewa haraka ukinywa bia tofauti?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,384
26,733
Kiuchumi hii ni njema sana, sijui kiafya ikoje!

Utasikia watu wakisema ukichanganya bia unalewa fasta, binafsi nilidhani tofauti ya bia ni majina tu na viwango vya kilevi ila viambata vingi ni sawa.

Basi majuzi hapa nilichoshuhudia ni tofauti, cha ajabu alianza na kilevi (alc v/v) kubwa akifuatia ndogo. Ghafla akaanza kulaumu kuchanganya bia.

Kwanza hii dhana ni kweli? Nini sababu yake?

Ncha Kali.
 
Ngoja nilewe kwanza ndo nije kutia neno
 
Kama unalewaga bia ya kilevi kikubwa ukihamia kwenye bia ya kilevi kidogo ni sawa na kuendesha gari kwa gia ya kupandia mlima kwenye afu upo kwenye tambarare.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom