Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Inatupa Stimu tuu....

Paf mbili tatu zinakaa sawa...
Ooh yes! I am feeling good to see your post!

Unapotea sana bibi Kasie, au majukumu ya kumhudumia babu?

Back to the topic.

Lengo kuu la burudani; zikiwemo nyimbo ni kuusahaulisha ubongo magumu uliyopitia. Na aghalabu burudani ni chaguo la anayetaka kuburidika.

Kikubwa tu, tusipangiane aina ya burudani.

Wa mambo yetu yale sawa, wa fegi sawa, wa pombe sawa,wa disco sawa na kadha wa kadha.
 
Wapemba nao hawapo nyuma kwenye majahazi huko, upepo ukikata ghafla baharini na kuwalazimu kupiga makasia..
Sikiliza hii...Seif weee tukamsake ngogo maji kujaaa,twende pwaniii tukamsake ngogo maji kujaaa,
Kibwagizo:wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?...wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?
Eboo!
 
Back
Top Bottom