Nini sababu ya baadhi ya maeneo kupewa majina ya wanyama?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Sababu zipi zilifanya baadhi ya maeneo kupewa majina ya wanyama hapa Tanzania? Mfano Boma Ngombe, Boma Mbuzi, Kambi ya Fisi, Kambi ya Nyoka, Kifaru, Temboni, Mamba,...nk

NI SABABU ZIPI?
 
Boma ng'ombe ni utambulisho kuwa enzi hizo mahali hapo palikuwepo uzio uliozungushwa na ndani mwake wanawekwa ng'ombe labda kwa ajili ya mnada,kuchinjwa au kuuzwa.
 
Back
Top Bottom