Walimu waruhusiwe kufundisha na muda wa ziada kwa wazazi kuchangia japo kidogo, maana nionavyo hiyo saa nane na nusu ni shida kwa watoto kuwaruhusu kurudi nyumbaniElimu bure ni tatizo
Walimu waruhusiwe kufundisha na muda wa ziada kwa wazazi kuchangia japo kidogo, maana nionavyo hiyo saa nane na nusu ni shida kwa watoto kuwaruhusu kurudi nyumbaniElimu bure ni tatizo
usafiri hiii ni changamoto sana hapa dar selection za watt kwenda o level haziangalii mtt anaishi wap anapelekwa wap inakua kama bahati nasibu hv hasa kwa wale wenye matokeo ya averageMkoa wa DSM umetoa shule sita za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne-mitihani iliyofanyika 2016 na matokeo kutoka siku chache zilizopita.licha ya mkoa huu kuwa na makao makuu ya mamlaka zote za wadau wa elimu ,mkoa umedondokea pua.ni nini hasa kimechangia matokeo kuwa yalivyo?
Ha ha ha hii imenifanya nicheke sana, kweli bhana wameongoza kutoka mkiani pia!kwani hujui dar inaongoza kwa kila kitu....ndo hvo washaongoza......
a] BETTINGMkoa wa DSM umetoa shule sita za mwisho kwenye matokeo ya kidato cha nne-mitihani iliyofanyika 2016 na matokeo kutoka siku chache zilizopita.licha ya mkoa huu kuwa na makao makuu ya mamlaka zote za wadau wa elimu ,mkoa umedondokea pua.ni nini hasa kimechangia matokeo kuwa yalivyo?