Usisahahu mkuu1.Sekta ya afya hali mbaya--Madawa hakuna hospitalini. Kuna vituo hata panadol havina.
2. Sekta ya viwanda naona bado tuko nyuma sana.
3.Sekta ya elimu bado tunasuasua. Ile sera ya elimu bure naona ina hali mbaya.
4.Uchumi bado unadorora.
5. Ukusanyaji kodi tumerudi kulekule alipotuacha Rais Kikwete 900 bil.
6.Sekta ya kilimo na ufugaji bado hamna mipango inayoeleweka.
7.Michezo bado tuko nyuma sana..Huwa najiuliza kwa nini kila siku serikali ina-finance timu ya taifa ya mpira wa miguu na hamna mafanikio.
8.Uhuru wa kujieleza umeminywa.
......Na mengineyo
Sasa najiuliza ni kwamba serikali inajipanga au ni nini shida. Kama nchi ni nini priority yetu? Wapi tumekwama na tufanyaje kurekebisha? Je tutafika uchumi wa kati kwa style ya sasa?
Na asiwepo mwingine wa kuhoji phd ya "mkemia mkuu"!Kuhakikisha Faru John anapatikana akiwa Hai
Pia kuhakikisha Lema anafudishwa adabu akiwa magereza
Mwisho ni Ben saa nane apotee machoni petu mpaka tumsahau kama Balali
Vipaumbele mbele vilipangwa siku nyingi- Maradhi, Ujinga, na Umaskini, wewe ulikuwa hujazaliwa. Labda ongeza hivi vya kwenu vya Uhuru wa kusema bila kufikiri na katiba mpya1.Sekta ya afya hali mbaya--Madawa hakuna hospitalini. Kuna vituo hata panadol havina.
2. Sekta ya viwanda naona bado tuko nyuma sana.
3.Sekta ya elimu bado tunasuasua. Ile sera ya elimu bure naona ina hali mbaya.
4.Uchumi bado unadorora.
5. Ukusanyaji kodi tumerudi kulekule alipotuacha Rais Kikwete 900 bil.
6.Sekta ya kilimo na ufugaji bado hamna mipango inayoeleweka.
7.Michezo bado tuko nyuma sana..Huwa najiuliza kwa nini kila siku serikali ina-finance timu ya taifa ya mpira wa miguu na hamna mafanikio.
8.Uhuru wa kujieleza umeminywa.
......Na mengineyo
Sasa najiuliza ni kwamba serikali inajipanga au ni nini shida. Kama nchi ni nini priority yetu? Wapi tumekwama na tufanyaje kurekebisha? Je tutafika uchumi wa kati kwa style ya sasa?
Faru John kawa gumzo kuzidi panga boyaKuhakikisha Faru John anapatikana akiwa Hai
Pia kuhakikisha Lema anafudishwa adabu akiwa magereza
Mwisho ni Ben saa nane apotee machoni petu mpaka tumsahau kama Balali
Faru John1.Sekta ya afya hali mbaya--Madawa hakuna hospitalini. Kuna vituo hata panadol havina.
2. Sekta ya viwanda naona bado tuko nyuma sana.
3.Sekta ya elimu bado tunasuasua. Ile sera ya elimu bure naona ina hali mbaya.
4.Uchumi bado unadorora.
5. Ukusanyaji kodi tumerudi kulekule alipotuacha Rais Kikwete 900 bil.
6.Sekta ya kilimo na ufugaji bado hamna mipango inayoeleweka.
7.Michezo bado tuko nyuma sana..Huwa najiuliza kwa nini kila siku serikali ina-finance timu ya taifa ya mpira wa miguu na hamna mafanikio.
8.Uhuru wa kujieleza umeminywa.
......Na mengineyo
Sasa najiuliza ni kwamba serikali inajipanga au ni nini shida. Kama nchi ni nini priority yetu? Wapi tumekwama na tufanyaje kurekebisha? Je tutafika uchumi wa kati kwa style ya sasa?
1.Sekta ya afya hali mbaya--Madawa hakuna hospitalini. Kuna vituo hata panadol havina.

Kwa sasa mambo mengine sio muhimu au sio.Ngoja kwanza tulete mandege vitu vingine visubiri kwanza
Priority yetu pasi na shaka ni wewe kumind your own business,kufikia malengo yako bila migogoro ya kisheria.kujituma zaidi ili umudu shida zako za kila siku .1.Sekta ya afya hali mbaya--Madawa hakuna hospitalini. Kuna vituo hata panadol havina.
2. Sekta ya viwanda naona bado tuko nyuma sana.
3.Sekta ya elimu bado tunasuasua. Ile sera ya elimu bure naona ina hali mbaya.
4.Uchumi bado unadorora.
5. Ukusanyaji kodi tumerudi kulekule alipotuacha Rais Kikwete 900 bil.
6.Sekta ya kilimo na ufugaji bado hamna mipango inayoeleweka.
7.Michezo bado tuko nyuma sana..Huwa najiuliza kwa nini kila siku serikali ina-finance timu ya taifa ya mpira wa miguu na hamna mafanikio.
8.Uhuru wa kujieleza umeminywa.
......Na mengineyo
Sasa najiuliza ni kwamba serikali inajipanga au ni nini shida. Kama nchi ni nini priority yetu? Wapi tumekwama na tufanyaje kurekebisha? Je tutafika uchumi wa kati kwa style ya sasa?
Mkuu kwa hiyo point yako hatufiki popote zaidi ya watu kukomaa na mambo yao ili wasurvive. Serikali lazima ifanye kazi yake vizuri ili na wewe uweze kumind your own business. Huwezi kumind your own business kama nchi ipo gizani na mambo mengine mengi tu ambayo ni jukumu la serikali.Priority yetu pasi na shaka ni wewe kumind your own business,kufikia malengo yako bila migogoro ya kisheria.kujituma zaidi ili umudu shida zako za kila siku .
Ni ushauri tu kama hutaki endelea kumind business za walioshiba hali unanjaa!sera za nchi hii ni nyingi mno na wanaozitunga wala hawanifikirii!why should I mind them,wote wanahangaikia njaa zao yangu ahangaikie nani? everybody for himself God for all of us.Mkuu kwa hiyo point yako hatufiki popote zaidi ya watu kukomaa na mambo yao ili wasurvive. Serikali lazima ifanye kazi yake vizuri ili na wewe uweze kumind your own business. Huwezi kumind your own business kama nchi ipo gizani na mambo mengine mengi tu ambayo ni jukumu la serikali.
Kama nchi priolity yetu ya kwanza ni kuwatumbua wadanganyika.Sasa najiuliza ni kwamba serikali inajipanga au ni nini shida. Kama nchi ni nini priority yetu? Wapi tumekwama na tufanyaje kurekebisha? Je tutafika uchumi wa kati kwa style ya sasa?