Nini njia 'polite' ya kumuita mtu??

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Tupo wengi dunia hii (Tz sasa tupo 40million). Tunakutana kila kukicha.
Nini 'polite way' ya kumuita mtu ambae humjui jina na pia wakati mwingine hata kama m2 unamjua jina kwa kua hamjazoeana nae na pengine mumepishana ki-umri(mkubwa/mdogo kwako).
Je utamuitaje: dada/kaka, uncle/ant, Mr/Mrs, mkuu/dogo, aisee, aloo, jamaa angu/mtu angu, kamanda, MCHIZI, Wa-kusoma, mzee, baba/mama, mdogo angu, Boss, shosti, mamdogo ???,......

Na-kliki submit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom