Nini nifanye ili kukuza gawio?

Dashdown

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
399
432
Wanajukwaa habarini za muda huu!

Niende moja kwa moja kwenye mada nimekuwa nikipokea gawio kutoka mitandao ya simu hususani Tigo na Vodacom gawio hilo ni muda mrefu sasa naona napata shilingi ndogo ndogo sana hivyo basi naomba mwenye uelewa na hili gawio anisaidie nini nifanye angalau niwe napata gawio linaloeleweka (gawio kubwa).

Nawasilisha kwenu!!
 
Ukiwa na maana natakiwa kuwa na salio muda wote na iwe kuanzia shilingi ngapi?
Hiyo hela yako ukiweka uko hawaifungii kabatini. Wanaitumia kukopesha watu wengine kwa Songesha, Nivushe, etc, sina hakika lakini wakipeleka mabilioni benki nayo inayakopesha na kupata faida. Mtandao ukipata faida kiasi kidogo inakupatia kama gawio (interest) labda % kadhaa. Hii inategemea unaweka hela frequently kiasi gani na unaiacha kwa muda gani.

Weka hela nyingi na usiitoe ovyo utapata gawio kubwa kiasi.
 
Asante sana
 
Wanajukwaa habarini za muda huu!

Niende moja kwa moja kwenye mada nimekuwa nikipokea gawio kutoka mitandao ya simu hususani Tigo na Vodacom gawio hilo ni muda mrefu sasa naona napata shilingi ndogo ndogo sana hivyo basi naomba mwenye uelewa na hili gawio anisaidie nini nifanye angalau niwe napata gawio linaloeleweka (gawio kubwa).

Nawasilisha kwenu!!
Inatakiwa uwe za kutosha kama 1M hiv na iwe inakaa mda mrefu kwenye simu yako
 
Wanajukwaa habarini za muda huu!

Niende moja kwa moja kwenye mada nimekuwa nikipokea gawio kutoka mitandao ya simu hususani Tigo na Vodacom gawio hilo ni muda mrefu sasa naona napata shilingi ndogo ndogo sana hivyo basi naomba mwenye uelewa na hili gawio anisaidie nini nifanye angalau niwe napata gawio linaloeleweka (gawio kubwa).

Nawasilisha kwenu!!
Mfano leo wamenipa gawio 12,538
Screenshot_20211016-091239~2.jpg
 
Hiyo hela yako ukiweka uko hawaifungii kabatini. Wanaitumia kukopesha watu wengine kwa Songesha, Nivushe, etc, sina hakika lakini wakipeleka mabilioni benki nayo inayakopesha na kupata faida. Mtandao ukipata faida kiasi kidogo inakupatia kama gawio (interest) labda % kadhaa. Hii inategemea unaweka hela frequently kiasi gani na unaiacha kwa muda gani.

Weka hela nyingi na usiitoe ovyo utapata gawio kubwa kiasi.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom