Nini ni kazi ya tovuti kwa mjasiriamali?

tzhosts

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
375
465
logo.gif



Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi.

Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa dhaifu haiwezi kufidiwa kwa kuwa na website bora na website dhaifu haiwezi kufanya bidhaa dhaifu iwe bora.Ubora wa bidhaa na huduma unakuja kwanza na hayo mengine yanafuata.

Nimekutana na wateja ambao wanataka kutengenezewa website kwa ajili ya biashara zao.Wengine wanataka website kwa ajili ya kampuni za utalii,teknolojia,shule,hospitali,maduka,engineering n.k..Jambo moja nililogundua ni kwamba wengi hawajui kwa nini wanahitaji website,au social media page.Wengi wanataka kwa sababu wanafikiri website au page ya mtandaoni ni mwarobaini wa poor sales,poor brand image,poor product au poor customer care kumber SIO.Kama tatizo ni ubora wa bidhaa au huduma suluhu ni kuboresha bidhaa au huduma na sio kuweka website au facebook page.

Kama ni hivyo basi nini kazi ya website ni hizi social media pages?
Kwa mujibu wa uzoefu wangu tovuti yetu kama ya tzhosts.com ina kazi mbili.Kazi ya kwanza ni channel ya mawasiliano na mauzo(Sales and Coomunications Channel) na ya Pili ni sehemu ya kuongeza thamani ya BRAND yetu na kuimanage.

Unapoamua kuwa na website lazima uhakikisha unafikia mojawapo au yote kati ya haya malengo,hata unapoamua kuwa na social media pages ni lazima ufikie mojawapo au yote ya haya malengo.

Ili kufikia malengo ya kuifanya website yako iwe sales and communication channels ni lazima ujue ni mikakati gani utatumia ili kufikia hilo lengo.Ili pia uifanye website yako iwe sehemu ya BRAND value proposition lazima uamue na uoange mkakati wa kufikia lengo hili.Katika kupanga mkakati wako lazima ufikiri kama mteja wako wa kawaida.Kwa mfano kama mteja wako ananunulia dukani kwakona unataka anunue online lazima ujiulize ni kwa nini anunulii online?Nifanyeje ili anunue online?Wakati mwingine unaweza jikuta unapoteza wateja kwa sababu tu hujajua ni nini mteja wako anataka.

Je unafikiri ni namna gani unaweza kutumia tovuti yako katika kuhakikisha kwamba biashara yako inakua na tija na faida zaidi?Karibu tujadili

Iwapo unapedna kufahamu zaidi juu ya namna ambavyo unaweza kutumia teknolojia katika biashara yako wasiliana nasi kwa email:info@tzhosts.com
 
logo.gif


Habari wadau,Tunawaletea Ofa maalum ya kumilika Business Card Website yenye pages 5 kwa gharama nafuu tu, ni simple quick and fast unakuwa hewani ndani ya siku 3.
Iwapo unahitaji website yenye custom specification and features gharama ni nafuu na za uhakika

Tuwasiliane leao kwa email

info@tzhosts.com
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom