Nini mstakabali wake??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,457
8,294
Tumeona juzi Dr Shain Rais wa Zanzibar akichagua baraza la mawaziri litakalo msaidia kwakipindi cha miaka 5!Katika uteuzi huo umeenda sambamba na kuteua viongozi toka chama cha upinzani kilichokuwa na aslimia nyingi kuliko vingine nacho ni CUF swali ina maana Dr Shain hakuona kama Waziri Kiongozi aliyemaliza mda wake anamfaa katika uongozi wake??au akuona niwapi angemuweka kwakuwa cheo chake kimefutwa na kuweka makamo wakwanza wa Rais hivyo akaona hawezi kuwa waziri wakawaida??Je kama ni hivyo kwanini hakuwa Makamo wapili wa Rais??
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom