Nini msaada wa wasomi wa kiafrika katika kuikomboa Afrika inayotaka kuteketezwa

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
Kuna Intelejesia iliyovuma kwenye ubongo na fikira zangu kwamba kuna mbinu za kihuni zilizoundwa na zingine zinaundwa zenye lengo za kutokomeza uwepo wa watu kutoka Afrika katika karne kazaa zinazokuja, mikakati hii yenye lengo kuu la kuharibu kizazi cha mwanamke wa kiafrika kuazia yupo tumboni, utotoni hadi ukubwani.

Mbinu hizi za kisheteni zipo na zitaendelea kuongezeka kadri miaka inavyoenda mbele, huku kwa asilimia kubwa ya mbinu hizi ziko katika mfumo wa chakula, mafuta ya kupaka, mafuta ya nywele, pamoja na madawa ya kubadili rangi. Pamoja na kutengeneza magojwa kwenye maabara.

Katika utafiti wangu usio rasmi, nimebaini ya kwamba watu wanaotoka kwenye kitovu kikuu vinapoingilia bidhaa hizi kama Nairobi, Dar es saalam, wamepunguza kwa kiasi fulani uwezo wa kufanya mapenzi.

Ukweli ni kwamba madhara yanayotokana na kemikali hizi ni kubwa kuliko madhara yanayotokana na bangi. Kuna watu wapo hata humu JF wanaufahamu ukweli wa mpango huu wa kishetani.
 
hakuna msaada wowote kwani elimu itolewayo sio ya ukombozi wa bara letu.. ni ukombozi wa familia zetu pekee
 
hakuna msaada wowote kwani elimu itolewayo sio ya ukombozi wa bara letu.. ni ukombozi wa familia zetu pekee

ukombozi wa kifamilia,??? utasemaje unaikomboa familia wakati watu wengi wanaokubwa na majanga haya ni watu wanaotoka kwenye familia za wasomi.

ni ukombozi gani unaongelea.
 
ukombozi wa kifamilia,??? utasemaje unaikomboa familia wakati watu wengi wanaokubwa na majanga haya ni watu wanaotoka kwenye familia za wasomi.

ni ukombozi gani unaongelea.

hapa nimemaanisha kuikomboa familia katika mahitaji muhimu mfano chakula, mavazi na malazi na vingine vingi.. elimu tunayopewa inatukomboa kimaisha na sio kifikra...
 
Tatizo halijaanza leo na hili tatizo chanzo sio mataifa kizungu mi nahisi kuna siri kwenye huu weusi wetu na ubongo wetu
 
Ufanisi mwa mtu mweusi umeonesha una walakini kwenye kuumbwa tofauti na mtu mweupe.LICHUNGUZE HILI UTAONA.
 
Nilibahatika kuona mafuta ghafi ya kula hayapishani sana na lami; nakubaliana nawe kwa wazo lako kuu.
 
Nilibahatika kuona mafuta ghafi ya kula hayapishani sana na lami; nakubaliana nawe kwa wazo lako kuu.

Mkuu ni ukweli yakinifu kwamba mpango huu wa kishatani hata serikali inaujua, lakn wao ndio wa kwanza kuruhusu bidhaa ya mauaji makubwa kwa binadamu,
 
Tatizo halijaanza leo na hili tatizo chanzo sio mataifa kizungu mi nahisi kuna siri kwenye huu weusi wetu na ubongo wetu

ubongo ukiingia weusi wa ngozi utapata rangi ya kijivu, rangi hii ya ubongo ambayo ingetuweka juu kuliko wote kwa bahati mbaya weusi wetu umeishia kwenye ngozi.
 
hapa nimemaanisha kuikomboa familia katika mahitaji muhimu mfano chakula, mavazi na malazi na vingine vingi.. elimu tunayopewa inatukomboa kimaisha na sio kifikra...

kumbe unamanisha kujikomboa kimaisha kwa hali ya kuweza kujikimu na kujitosheleza na huduma muhimu kwa binadamu(musomi wa kiafrika) Utotole fika hapa uokoe jahazi.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Nikupongeze Chief Shy land....Kwa Mada Nzuri
Tamaa Na Uoga Wa Wasomi Wetu Ndo Janga Kuu Hapa
Hakuna Upendo Baina Yetu Kila Mmoja Yuko Kwa Maslahi Yake Binafsi
We Tazama Hata Mfumo Wa Nchi Yetu...Yaan Kujaliana Hakupo Kabisa
Ahsante Jigo
 
Mkuu Majigo lawama ya kwanza lazma ipelekwe kwa serikali yetu, maana haiji akili kuyubishwa kiakili na uhuni wa kisheteni kama huu, madawa na bidhaa zingine ambazo zimeudwa kwa matumizi ya kawaida ya binadamu vina athari zaidi ya bangi!

sisi afrika tumegeuzwa kuwa soko la mataputapu yote yenye athari kubwa, afrika eti tunauziwa na nyama za kwenye makopo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom