Nini Mawazo ya Mzee Mwanakijiji kuhusu Demokrasia kwenye vyama vya upinzani Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Mawazo ya Mzee Mwanakijiji kuhusu Demokrasia kwenye vyama vya upinzani Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Semenya, Oct 4, 2009.

 1. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2009
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Napendezewa sana na uwezo wa Mzee Mwanakijiji anavyoweza kuchambua mstakabali ya siasa TZ..na jinsi anavyoikosoa serikali na kuipa njia mbadala wa kuijenga.

  mambo ambayo sijasoma akielezea ni kwakiasi gani anauona au anaiona demokrasia ya vyama vya upinzani, na je anaona vipo tayari kuongoza nchi masikini na yenye matatizo kama Tanzania?

  sijaona akikemea saaana vyama kugeuzwa NGO, mfano CUF toka enzi hizo mpaka leo hamna mabadiliko ya ki siasa....anamaoni gani kuhusu CHADEMA hapo nyuma walipo dhihirisha kuwa hamna chama safi Tanzania walipo mbana Zitto kutogombea...naamini Zitto bila kuzuiwa na wazee asingeondoa jina lake.
   
 2. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aliwahi kuhojiwa na Star TV alisema mara nyingi sana nini kifanyike kwenye Upinzania na nini kisifanywe, Mara nyingi penda kununua gazeti la Tanzania Daima siku ya jumatano na pia kuna machapisho yake kwenye website yake au humo ndani kwenye JF,
   
Loading...