Nini matarajio yako kuhusu mwelekeo wa taifa kiuchumi?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
licha ya kuwa tuko mwanzoni kabisa mwa utawala wa serikali ya awamu ya tano aka hapa kazi tu tayari kuna mgawanyiko mkubwa wa mawazo miongoni mwa wananchi wa kawaida na hata wale wenye nafasi zao ktk jamii hasa kuhusiana na mwelekeo na matarajio ya hali ya kiuchumi ya nchi yetu kwa siku za usoni. wapo wanaomini kua rais amekuja na muarobaini wa matatizo ya uchumi wetu, huku wengine wakiamini kua hatuna haja ya kutarajia makubwa sana toka kwake na wengine kudhani kua huenda hali ikawa mbaya kiuchumi kuliko wakati mwingne wowote ktk historia ya taifa letu. nini mtazamo wako juu ya mwelekeo wa kiuchumi wa taifa letu??
 
Back
Top Bottom