Nini mashiko ya hoja hii ya wasagaji

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,638
Unapo wauliza swali kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anayeweza kumridhisha vizuri mwanamke kimapenzi.( Sexual Satisfaction ). Hoja yao ya msingi huwa ni " MIMI NI MWANAMKE, NINAJIJUA VIZURI, NINAJUA NIKISHIKWA NA KUKUNWA SEHEMU GANI NINAFIKA KILELENI, SO NI NIKIWA NA MWANAMKE MWENZANGU NAJUA NIMSHIKE WAPI , NIMKUNE WAPI, NIMNYONYE WAPI AND ALL THAT, SO NIKIWA NA MWANAMKE MWENZANGU NINA UWEZO MKUBWA SANA WA KUMRIDHISHA KINGONO KULIKO AMBAVYO MWANAUME ANAWEZA....

Dah huwa ninakuwa mpole sana ninapo kutana na hoja hii, kwa sababu pamoja na kwamba sitaki kukubaliana na suala hilo but nikithink critically naona kama linamake sense kwa namna moja au nyingine. Wadau mnasemaje kuhusu hili? Kuna hoja yoyote ambayo inaweza ku argue against this notion?
 
^^
Kuficha sehemu zinazowapagawisha isiwa hoja ya kuhalalisha uovu.
Poor argument
^^
 
Haaaaa!!! Usihalalishe ubazazi bwana weye sasa hizo sehemu si umwambie mwenzako § ¥ *
 
Hata kama mwanamke anajua mahali pa kumkuna mwanamke mwenzie anatumia kikunio gani?! Hebu watuambie.
 
Unapo wauliza swali kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anayeweza kumridhisha vizuri mwanamke kimapenzi.( Sexual Satisfaction ). Hoja yao ya msingi huwa ni " MIMI NI MWANAMKE, NINAJIJUA VIZURI, NINAJUA NIKISHIKWA NA KUKUNWA SEHEMU GANI NINAFIKA KILELENI, SO NI NIKIWA NA MWANAMKE MWENZANGU NAJUA NIMSHIKE WAPI , NIMKUNE WAPI, NIMNYONYE WAPI AND ALL THAT, SO NIKIWA NA MWANAMKE MWENZANGU NINA UWEZO MKUBWA SANA WA KUMRIDHISHA KINGONO KULIKO AMBAVYO MWANAUME ANAWEZA....

Dah huwa ninakuwa mpole sana ninapo kutana na hoja hii, kwa sababu pamoja na kwamba sitaki kukubaliana na suala hilo but nikithink critically naona kama linamake sense kwa namna moja au nyingine. Wadau mnasemaje kuhusu hili? Kuna hoja yoyote ambayo inaweza ku argue against this notion?

Mimi nadhani watu Kama hao ni laana tu Ndo inawasumbua!!!!!! Hakuna chochote hapo.......!!!
 
Hiyo mantiki inahusika na kwa wanaume pia au?

Yaani ni mwanaume tu ndiye ajuaye jinsi ya kumridhisha mwanaume mwenzake?

Jesus take the wheel!
 
Duh mie hata sitaki kusikia haya makitu jamani, mimi ni mwanamke niliekamili lakini ikitokea hata kuegemeana na mwanamke mwenzangu huwa sitaki kabisa. from my side.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom