Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
453
507
Wadau wa mitandao, hasa wale mnaotumia mtandao wa halotel mna maoni gani kuhusu ubora wa huduma za internet za hii kampuni, maana maeneo mengine imekuwa ni kero kwa kweli, je wadau wateja mlioko maeneo mbalimbali mnaonaje huko kwenu huduma za hawa jamaa(internet),
 
acheni upotoshaji hakuna mtandao tz unaoweza kufikia kasi ya Halotel wapo vizur sana na mob zinachelewa kukata tofauti na voda ukinunua tigo ndio kabisa mb hautumii jinsi ilivyo slow
 
Nimenunua gb 1 za voda nifuatilie ripoti ya pili ya makinika zimeisha kabla hata JPM hajaanza kuongea.

Wakati halotel gb 1 huwa zinakaa hadi nasahau kabisa.
Gb za voda zinawahi kuisha. Za halotel zinakaa muda mrefu. Tatizo maeneo mengi siku hizi kupata internet yao ni shida sana. Wapuuzi sana hawa halotel.
 
Kwakweli kwa upande wa Halotel sina cha kulaumu. Nimeshatumia mitandao mingine yote.... ila halotel ina unafuu mkubwa sana upande wa voice calls na data.....
Hata speed ipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom