Nini maoni yako kuhusu mkao wa balozi huyu

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
[media]http://bp0.blogger.com/_J7fWdQi13jI/R3zLY2u30nI/AAAAAAAADo0/xDU_G3G5SaI/s1600-h/14.jpg[/media]
 
[media]http://bp0.blogger.com/_J7fWdQi13jI/R3zLY2u30nI/AAAAAAAADo0/xDU_G3G5SaI/s1600-h/14.jpg[/media]
 
14.jpg
 
Huyu bwana huwa ni mtu wa viwanja sana, sasa leo hii kali ya mwaka sijui anajaribu kuonyesha nini ila kila sehemu huwa anafanya vituko iliaonekane.

this is wierd shame on him.
 
Naona jamaa hana mawasiliano na Ramala (Fatah) wala Gaza (Hamas). Sasa sijui mlikuwa mnataka afanye nini.
 
Lets be fair to him, you can only judge him kama ulikuwepo kwenye tukio na kuona hali yake baada ya hilo zoezi.... I mean maeneo ya flaizi ya sarawili yake yalikuaje? Je aliweka mikono mfukoni immediately baada ya ya kumshusha huyo mwana mama?
 
..huyo baba ni mtu wa vituko na vioja!
 
Wakuu kwenye ubinadamu hakuna cha kusema huyu kakulia Gaza au Ramallah. Hapa nina jamaa mpalestina anaishi next floor, ndiye aliyenionyesha "viwanja" vya huku, anafahamu maeneo yote "yaliyochangamka" kwa totoz na cheap booze kwenye friday nite!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom