Nini maoni yako juu ya uhusiano wa kashfa za Ridhiwani na uongozi mbovu wa JK+uchumi kuyumba?

Hii ndo bongo,nchi ya waswahili -hapo kabla ilikuwa ni Lowassa anayemiliki mali zote ktk nchi hii...UONGO HUSAMBAA NUSU YA DUNIA KABLA UKWELI HAUJAMALIZA KUNAWA HATA USO ASUBUHI.
 
mmmmmmmh chumvi ikiwa nyingi huharibu chakula.....

jamiiforums ilipokuwa kwenye maboresha tulikuwa hatuipati vizuri tutaambiwa ulikuwa mkono wa Ridhwan
 
Wana JF,
Kuna thread ilianzishwa na kila mtu akawa anatoa kile anachokifahamu juu ya Ridhiwani. Mimi nimekusanya yale yaliyotolewa na kuyaweka pamoja. Swali langu kuna uhusiano gani kati ya mambo haya (kama ni ya kweli) na uzaifu wa ungozi wa JK + kuyumba kwa uchumi wa nchi? Tufanye nini?

Ridhiwani


  1. Kahodhi msitu wa sao hill
  2. Anahujumu usafiri wa treni ili magari yake yapate tenda za kusafiris ha mizigo. hivi sasa ni jino kwa jino kati yake na dr. mwakyembe.. dr. akitaka kufufua usafiri wa reli jamaa anawahi kwa mzazi kuomba kizuizi
  3. TSN Supermarket zote zake, HOME SHOPPING CENTRE (ushahidi upo)
  4. KOBIL Tanzania yake,
  5. Malori ya mafuta davids mosha yake, na malori ya mafuta na visima vya LAKE OIL (Kuna ukweli ndani yake hasa Lake Oil) na magari ya nani vile yanayo-supply mafuta katika migodi ya Geita?. Usie amini uliza wanaoendesha hizi compuni au magari watakuambia au traffic watakuambia kama haya magari yanasifa zipi
  6. Hotel pale morogoro karibu na stand kuu ya ma bus
  7. Mgodi wa dhahabu
  8. Jengo nyuma ya BIG BON sinza mori. (Jengo nyuma ya bigborn siyo la kwake ni stori za vijiweni hizo) (Joyceline)
  9. Mabas ya DAR LUX yote ya kwake.
  10. Kampuni ya usafirishaji ya simon group yenye lori zisizopungua 500 (Hili la Simon Group (a.k.a UDA) halina mjadala ana hisa huko)
  11. Anahusika na makampuni mengi ya serikali kaipa kampuni yake isambaze mafuta
  12. Kigogo mwsho karibu na ccm kuna eneo wananch wanasema kanunua
  13. Malaika Hotel na Gold Crest Hotel zote za Mwz.
  14. Sports lounge kati kati posta-juma pinto ni bosheni tu......,
  15. Gesi kule mtwara
  16. Swiss Tower pale karibu na Chuo kikuu MUHAS pia ni yake.
  17. Hisa kilombero sugar cane (JK)
  18. Kupendekeza viongozi wanonekana kuwa mabogas.

Tunampamba Ridhwan tunamkuza na kumtukuza mwishowe anameremeta...........

Nikiibuka hivi sasa nikasema jengo la Raha Towers lililipo makutano ya mitaa ya bibi titi na maktaba (Azikiwe) ni la Ridhwan hakuna atakayedai vielelezo, ushahidi au hata maelezo ya ziada kukazia tuhuma, je tutafika kuendelea kuwa wasikilizaji bila kuhoji na kuuiliza maswali?
 
Chenge anatuhuma ipi? Badwel kisha hukumiwa au mtuhumiwa?

Ridhwan, mtoto wa Jakaya Mrisho Kikwete, mmemshindwa baba'ke mmeamua mumrukie mwanae? amma kweli mmeishiwa.

Nimeuliza kuhusu Mbowe huko juu, naona hauna jibu.

yani safari hii huyu dogo hachomoki, mda si mrefu ushahidi unakamilika alafu tunamburuza mbele ya baba ake, huyu dogo anahodhi asilimia kumi ya hisa za mgodi wa samax mirerani that y mchanga unasafirishwa kwa ndege watanzania tunabakiziwa mashimo ya kufugia fuko.
 
Ah jamani hilo si lipo wazi? Hata bajeti alosoma Mgimwa juzi mbona yake?
 
Back
Top Bottom