MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,466
- 20,212
Kijana kutoka Chadema ndugu Godlisten Malisa ameamua kuacha siasa za pingapinga na badala yake ameamua kufanya kazi ya Mungu, kuwasaidia wenye uhitaji.
Japokuwa hamna hata siku moja amewahi kutoka hadharani na kumpongeza rais JPM kwa ushindi na jitihada zake za kuinua maisha ya watanzania lkn ameweza kumpongeza mara kadhaa indirectly.
Sasa hivi amepata wito kutoka kwa Mungu na kuamua kuwasaidia watu wenye uhitaji na kazi hii ameifanya kwa ufanisi mkubwa sana.
Ukurasa wa Malisa umefanya kazi kubwa kwa miezi miwili iliyopita kuliko ulivufanya miaka kadhaa iliyopita.
Mungu mmbariki Malisa katika maisha yake mapya aliyoamua kuishi ya kuwasaidia watu wenye uhitaji. Kijana Malisa ni chumvi ya dunia.