Nilistushwa na kauli ya kijana mmoja akisema eti 'cuf wamefikia malengo yao, 1. maalim kawa makamu wa Raisi 2. Wamepata raisi mpemba. Akina lipumba na wenzake mambo siyo mabaya package yao anayo jk'.Du! sikuamini masikio yangu. Wana JF hayo ndiyo malengo ya political party. Halafu hawa jamaa wenyewe ni pemba tu.hiyo imekaaje?