Nini mafanikio ya Mwl Nyerere Foundation? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini mafanikio ya Mwl Nyerere Foundation?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BLUE BALAA, Feb 22, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kimsingi Mwl Nyerere foundation ilitakiwa iwe foundation ya kuheshimika sana na ifanye vitu ambavyo watanzania tunaweza kujivunia navyo. Nelson Mandela Foundation iko juu sana na inaheshimika duniani. Hapa Tanzania ime initiate mradi mkubwa wa USD600 Million wa chuo cha science & technology kule Arusha (Carmatec)

  Naombeni tutafute data hii foundation imefanya nini in connection with Mwalimu Nyerere credibility.
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina comment:
  Mwl Nyerere haijafanya chochote cha maana, kwa sababu enzi ambazo ilitaka kufanya kazi, ilitishiwa na serikali kwa ukali, na bahati mbaya kwa sababu walioachwa na Mwl kuiendeleza hawakuwa wajasiri tena wana ukwasi wenye kutia shaka; pengine kwa kutojiamini, taasisi ikanywea, ikaondoka kwenye misingi ya ukombozi wa kifikra wa mtanzania wakadhani ukombozi wa foundation hiyo ni wa CCM, ndio maana hata mwaka jana kwa kuelewa msimamo wa watoa mada na wachangiaji, waliahirisha mhadhara wa kufikiri eti kwa sababu za uchaguzi; naichukulia kama taasisi fake; inatapatapa, na watu hawawezi kuiunga mkono; hata sabodo sidhani kama anaunga mkono labda kwa unafiki. Lengo la taasisi ilitakiwa iwe huru; sio huru; iwe na wasomi zaidi; sio hivyo in awasomi wa kujipendekeza (akina Salim ambao wanadhani wanaweza kupata urais tena), badala ya kuacha unafiki wako kimya huku wananchi wakiumia; mie naona ni taasisi fake ambayo haina malengo ya watanzania tena; ila jina lake ndio linailipa taasisi hiyo; haina jipya ni ccm tu faked
   
 3. N

  Ndege Tausi JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2014
  Joined: Nov 12, 2013
  Messages: 882
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Nauliza hivi maana hadi leo hii kuna wananchi hata hawaufahamu mfuko huu. Lkn pia mi niiteemea mfuko wenye jina kuba kama hilo ungeweza kufanya mambo makubwa hapa nchini. Kuna huu mfuko wa Benjamin Mkapa Foundation mambo yake yanafahamika. Kama kuna Mtu anafahamu mafanikio kuhusu huu mfuko atueleweshe na kama mafanikio hayapo tatizo ni nini?
   
 4. NHWANI

  NHWANI Member

  #4
  Apr 24, 2014
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wanabaniwa kwa sababu za kusema ukweli usiotakiwa kusikika na watawala.
   
 5. The Businessman

  The Businessman JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2014
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 6,997
  Likes Received: 6,030
  Trophy Points: 280
  Butiku kajenga shule yake binafsi kule butiama kwa pesa za huo mfuko bongo bwana kila kitu ni kusaka tonge
   
 6. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #6
  Apr 24, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,357
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mafanikio waliyokuja nayo ni ya serikali tatu zilizopingwa na muasisi wa hiyo taasisi. Pale pesa zinapigwa kiasi hata wachangiaji wameanza kushituka. Uliza zilipo zile za bahati nasibu ya sabodo!!! Ukichunguza mengi utakufa kwa kihoro.
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2014
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  naona wanasafiri sana
   
 8. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2014
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  NGO nyingine ni za kutafuatiana nyadhifa tu kama ile aliyopewa Kingunge eti mwakilishi kupitia NGO
   
 9. j

  jidodo JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2014
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 1,176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe hawana uadilifu ndo maana wametuharibia mchakato wa katiba.
   
 10. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #10
  Apr 24, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,357
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Ile ni taasisi ya amani. Umeshasikia hata ikikemea na kulaani yanayoendelea jamhuri ya afrika ya kati au sudan kusini? Taasisi imeshakufa siku nyingi.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ingedumu vipi wakati Halmashauri za fitna na mizengwe zinaisonga?
   
 12. d

  duchi JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2014
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 1,766
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi vizee ina maana wamepiga meno pesa ya Sabodo kama Chadema walivyoipiga meno?
   
 13. k

  kingukitano JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2014
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,971
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamekalia majungu na kuweka hotuba za mwal,poor them!
   
 14. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #14
  Apr 24, 2014
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,357
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Hizo halmashauri zimeifanya ikose hata karatasi na kalamu tu ili kuandika taarifa ya kulaani mauaji?
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Umesahau makombora yaliyorushwa kwao kwa kushiriki mjadala chini ya kigoda cha Mwalimu? Mjadala uligusia maadili ya uongozi, lakini Halmashauri ikaamua ku-spin na kusema watu wana "machungu ya kukosa urais"!.

  Wakilaani mauaji si wataishia Mabwepande?
   
 16. P

  Pinnacle JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2014
  Joined: Jan 10, 2014
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nyerere huwa anakumbukwa tu kukiwa na agenda ya kisiasa aliyoisimamia na wao wanaitaka kwa maslahi yao, otherwise tumwache apumzike, zama zake zimepita!
   
Loading...