Nini madhara ya kuzuia shahawa (semen retention) wakati wa majambozi?

Kwanza Semen sio shahawa na pili Semen na sperm zote amna sugar kuna aina gani ya sugar we uliskia wapi(glucose,,glucagon,,mono,polysaccharide?? Au aina gani ya Sugar)) semen ina acid ambayo kazi yake ni kuuwa vijidudu kwenye shingo ya K kabla shahawa hazijapita....Kuzuia manii istoke ni kujitesa kwani unaifanya mishipa ya uume idhoofike kwa7bu sperm inatoka kwa spidi sana na ukiizuia kwa kubana ni kwamba unaifosi mishipa ni kama kushkilia kaa la moto tu bora upige nyeto zitoke ila usibane baadae uanze kulalamika nguvu za kiume,,mara mkojo unauma bladifakeni
Mkuu ticha on duty. Material source zako unazoandalia vitini vya sayansikimu vyenye matango pori na kuuzia wanafunzi tuisheni kukutana na glucose, monosaccharides n.k ni kawaida ila huwezi kukuta Fructose kwenye semen na labda unahisi hiyo ni chumvi ndo maana umebisha kwa confidence sana.😂

Jifunze zaidi.
 
Mkuu ticha on duty. Material source zako unazoandalia vitini vya sayansikimu vyenye matango pori na kuuzia wanafunzi tuisheni kukutana na glucose, monosaccharides n.k ni kawaida ila huwezi kukuta Fructose kwenye semen na labda unahisi hiyo ni chumvi ndo maana umebisha kwa confidence sana.

Jifunze zaidi.
Bora mnaojuaa mumwambie sie tusiojua hayo mambo hatuwez bishiaa
 
Aisee jinsj unavyo zitoa ndivyo zinaongezeka, mi nikila korosho nikipiz najaza kikombe cha kahawa apo bado mihogo karanga ,unazizuia ugundue nini hasa,
Duuuh kikombe Cha kahawa kaka, Naomba picha ya hiko kikombe
Kikombe cha kahawa ukijui hiv vya kunywea kahawa hizi za mia mia

2403759_Kamani202.jpeg
 
Aisee jinsj unavyo zitoa ndivyo zinaongezeka, mi nikila korosho nikipiz najaza kikombe cha kahawa apo bado mihogo karanga ,unazizuia ugundue nini hasa,

Kikombe cha kahawa ukijui hiv vya kunywea kahawa hizi za mia mia

View attachment 2031173
Acha exaggeration mkuuu we ujaze jicho kidude kwamba huwa unapiz kwa Zaid ya sekunde 30 Hadi ukijaze au urethra yako Ina diameter kubwa kias gani
 
Habari Wana JF.

Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari.

Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu mwilin mwetu, kwa upande wa protein inahusika na ukuaji wa seli hai mbalimbali mwilini...
Hii unayosema kitaalam inaitwa dry orgasm yaan unapata mshindo bila kuijaculate hii inaweza kukupa pleasure kama unavyoijaculate kawaida lakin ina madhara yake kwani hapo ni kwamba sperm zikitoka zinarudi kupitia njia ya mkojo na baadae unazitoa na mkojo ila hii wanasema inaweza kusabanisha infertility kwa hiyo sio kitu cha ":kuintertain" kwa maelezo zaidi unaweza kugoogle effects of dry orgasm
 
Hii unayosema kitaalam inaitwa dry orgasm yaan unapata mshindo bila kuijaculate hii inaweza kukupa pleasure kama unavyoijaculate kawaida lakin ina madhara yake kwani hapo ni kwamba sperm zikitoka zinarudi kupitia njia ya mkojo na baadae unazitoa na mkojo ila hii wanasema inaweza kusabanisha infertility kwa hiyo sio kitu cha ":kuintertain" kwa maelezo zaidi unaweza kugoogle effects of dry orgasm
great thanks kaka
 
Kwanza Semen sio shahawa na pili Semen na sperm zote amna sugar kuna aina gani ya sugar we uliskia wapi(glucose, glucagon, mono, polysaccharide? Au aina gani ya Sugar)) semen ina acid ambayo kazi yake ni kuuwa vijidudu kwenye shingo ya K kabla shahawa hazijapita...
Bladi nani tena
 
2012 niko boarding alfajiri nilihisi utamu unakuja ikabidi nizuie kwa muda nilipokuja kuachia sikuona kitu. Haijatokea tena hii kitu.
 
Habari Wana JF.

Tunajua shahawa zina contain elements nyingi zikiwemo protini na sugari.

Sugar na protein kila Moja inafaida katika mwili wa binadamu, kwa upande wa sugar YENYEWE hutupa nguvu mwilin mwetu, kwa upande wa protein inahusika na ukuaji wa seli hai mbalimbali mwilini.

Hivyo unavotoa sana shawaha kwa kwenda mizunguko mbalimbali (Sugar + protein + other elements) kupitia ejaculation ndivyo unavyozipoteza hizo vitu muhimu katka miili yetu.

IKUMBUKWE kuwa rate ya uzalishaji wa protein na sugar hauko sawa na rate yake yakupoteza, ukipiga mishindo miwili ndani ya dakika 20 labda inaweza chukua hata siku 2 au 3 ku replace hiyo loss.

HAPA IKAIBUKA MBINU ya "Semen retention" kwa wale mliosoma vitabu mbalimbali kama Multiorgasmic man, model marriage and alike mtakuwa mmekutana na hii mbinu AMBAYO kwa kifupi nikuwa wakat unakaribia ejaculation unaminya mshipa uliopo katikati chini ya "dick" hivyo kuzuia utokaji wa shahawa.

Je zile shawaha zinazozuiliwa huwa zinaenda wapi na ni yapi madhara yake.

Disclaimer:
Sio mdau wa issue za tiba/ medical health hivyo kama kuna mahala nimekoseaa unaweza jiongeza nlikuwa namaanisha Nini.

Karibuni
Semen Retention hio ni practice ya Celibacy for a certain period of time sio kufanya mapenzi alafu kuzuia shahawa!
Kwa uelewa wangu
 
Back
Top Bottom