katoto kapole
New Member
- Nov 4, 2019
- 3
- 1
Naomba mnisaidie kitu wakuu,
Hivi mfano mwanamke alikuwa mjamzito akanywa midawa ikamfanya damu zitoke na kukata, ndani ya mwezi damu zimetoka na kukata mara nne akaja tena akatumia Duphastone zile dawa za kuzuia mimba isitoke lakini damu zikawa zinatoka na kukata ila sio nyingi kama mwanzo, je huyo mwanamke anaweza kupata shida gani?
Je kizazi kinaweza kuoza?
Sent using Jamii Forums mobile app