Nini maana yake?

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,164
Let's say mpo online mnachat na girl wako

Akakuuliza "Unaoa lin mpenzi?"

Nawe ukajibu
"Kwanza ybd nijipange wngu....
nipe mda
Then kuna kjtamblsha
Hlf kuna posa
Na ndoa itafuata wngu
Just nvumilie wngu!!
Kila ktakuwa poa wngu"

"Wngu najtahd kila niwezavyo nije kjitamblsha kwenu!!...
Co km xtaki
Nitakuja wngu!!...
Serious"


Then Baada ya text kufika...akareply kwa text ya kicheko kikubwaa

Ana maana gani kucheka??...girls nnaomba muhusike pia
 
Anafurahi siku hiyo atakayokuwa anakupelekwa kwa wakwe zako jombaaaaa

Si unajua Sasa Hivi nadra sana hivyo vitu kutokana Na Vyuma kukaza
 
umejitetea sana badala ya kujibu swali kama ilivyo ulizwa... me huwa napenda kujibu swali bila maelezo
 
Back
Top Bottom