Nini maana ya wife material

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Nimepata shida kidogo kujuwa hii thread niitupie kwenye forum ipi mojawapo kwani inahusu elimu, mapenzi, psychology etc. Hivyo nahitaji kupata maana halisi ya kusema wife material?? Sitegemei tu mtu uju unijibu ni mwanamke anaefaa kuowa! How?

Naomba kueleweshwa
 
Wife material ni character. Ni mwanamke mwenye sifa ya kuitwa mke. Sifa hizi zinaweza ku vary kutokana jamii aliyotokea ,familia au hata kabila.

But in common grounds. Wife material ni mwanamke anaye faham jukumu lake kwa mume na familia. Mwenye ethics za kujua nini afanye na nn asifanye na anasimamia hapo.
 
It's the woman you envision being the mother of your kids.

Think of you and your kids when choosing their mother.

That is wife material. No more, no less.
 
mwanamke aliekuonesha mungu. huyo kilakitu kizuli atakuwa nacho. japo binadamu tuna kasolo
 
Back
Top Bottom