Nini Maana ya Transcendental Meditation (Tafakuri inayopita mipaka ya akili)?

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Ni mara ya kwanza kuandika katika sehemu hii kama sijakosea. Kuna mambo mengi ambayo huwa nayasoma kupitia uwanja huu ambayo yanafikirisha kwelikweli. Nine wahi kusoma wengi wakielezea kuhusu tahajudi (meditation). Nikawa napenda kujisomea kujua angalau A,B,C lakini katika kusoma nilikutana na hili jambo ambalo linasema liko juu kabisa ya Tahajudi na watu wa tahajudi wanaweza wasilifanye nalo ni Tafakuri inayopita mipaka ya akili. Nataka kujua maswala yafuatayo mwenye ujuzi katika haya mambo?

1. Transcendental Meditation ni kitu gani hasa kwa lugha rahisi?

2. Kinafanyikaje na faida yake ni nini?

3. Hapa Tanzania au Afrika mambo haya yapo? Maana nimeona Marekani kuna Taasisi fulani wanafundisha haya maswala.

Naomba kuwasilisha.

Ahsanteni.
 
Mkuu Tanzania ipo sehemu wanafundisha meditation muulize Jimena atakujuza zaidi ila ipo tabata
 
Hii siyo meditation kama ambavyo wanafanya au ilivyozoeleka kwa wengi....nimeona dondoo kama hivyo. Naona imekuwa ngumu kweli kupata ufafanuzi katika jambo hili.
 
Meditation ni pale unapokuwa mmoja ni kile unachokifanyia meditation, zipo schools nyingi tu za meditation.pia kuna dhumuni la kila meditation. Mfano kupata tulizo la ndani(stillness),kukuza ufahamu, ku-manipulate maumbile nk.
Transcendental meditation(MT) dhumuni lake haswa ni kupata tulizo la ndani(stillness or relaxation) ambapo mara nyingi wanatumia mantra meditation.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom