Nini maana ya SKY OVER? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya SKY OVER?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kishongo, Feb 22, 2011.

 1. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tarehe 21 February 2011 majira ya saa tano na robo mchana, nilimsikia Mbunge wa Arusha Mhe Godbless Lema akihojiwa na mwandishi wa habari wa Star TV juu ya kupunguza msongamano wa magari jijini Dar.

  Mhe Lema alitoa pendekezo la kujengwa kwa 'Sky-overs'.

  Ninahisi mbunge alimaanisha 'Fly-Overs' - au pengine hilo ni neno sahihi?

  Kama alikosea, basi mlio karibu naye msaidieni ili aepukane na makosa kama haya.

  Haipendezi kuona mbunge anachanganya lugha namna hii mbele ya tv.
   
 2. kyemo

  kyemo Senior Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  vp mzee!we hujawahi kuchapia????????????????
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuchapia ndio nini?
   
 4. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hapa kazi ipoooo!! Kama ni kweli Mh. Lema alikosea, though natambua kuwa hakuna binadamu aliye sahihi duniani na kila siku tunatakiwa tuendelee kujifunza zaidi na zaidi lakini tatizo letu watanzania wengi tunapenda kutumia kugha ambazo hatuzijui sawasawa.

  Wengi wetu tunapenda kuongea kiingereza wakati hatuna uelewa wa kutosha katika lugha hiyo. Ushauri wa bure....tupende kutumia lugha ambayo tuielewa zaidi ili kufikisha ujumbe barabara.
   
 5. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,060
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye hizo nyota umethibitisha kweli hakuna anaepetia .
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hapo kwenye red mbona sijakuelewa?
  umechemsa mzee.
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mh: kweli
   
 8. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na nyekundu.
  Aliona ugumu gani kusema tu: 'barabara za juu'?
  Hata hivyo kama anataka mabadiliko, Mhe hajachelewa kurudi shule.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaah!
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .... taratibu na wewe
   
 11. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  vipi mkuu na wewe,kweli nimeamini hakuna asiyechapia eti jione mwenyewe.

  -umechemsa-umechemsha.
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha haaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! kama ww kisw unachapia je mwenzio kingerezaaaaa
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ....mzee wa kilalacha wewe nini vipi kwenye red hapo??...
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mimi nadhani mh wetu Lema hajui kuwa inaitwa Fly-over. ukizingatia watanzania huwa tunadakia maneno na hatutaki japo kuwa na dictionary kupitia neno ili kujua hasa linamaana gani.
  e.g mtu anasema nita Kudip or nidipu,akimaanisha Ni beep.
  kwa kuwa fly overs ni madaraja ya juu,hivyo yeye alikuwa akujua kuwa ni Sky overs.
  Mh.Lema nunua Oxford poket dictionary utembee nayo ktk mfuko wako wa suti. mimi huwa ninayo dictionary ofcni,nyumbani.etc its good to have one.waingereza wenyewe wanazo majumbani mwao,afterall kiswahili chenyewe kinatupiga chenga .
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0


  fly over.jpg


  mkuu NM ..sipati picha unaposema fly over ni madaraja ya juu .... ikimaanisha huko juu kuna mito inayopita ....ha haaa .... ninavyoelewa fly over ni barabara za juu ..suspended roads
   
 16. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hakuna magari mengi wala nini cheki barabara yenyewe hata dereva anatamani kuipitisha!
   
 17. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #17
  Feb 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh, ama kweli kumbe hakuna mwalimu wa mwingine.. Hapo kwenye red napo???
   
Loading...