Nini maana ya reuse content katika mtandao wa YouTube

kenny gel

Member
May 10, 2016
27
5
Nina channel ya videos lyrics youtube nimeomba maombi ya kua monitizer kisha nianze kulipwa baada ya muda jibu likarudi wakiniambia reuse content ikiwa amna hata video mona ikiwa na copyright claim wa strike.

Naombeni msaada lipi naweza fanya mana naona kuna baadhi ya channel zinafanya kazi kama hyo lkn wameanza kulipwa kama dopelyrics ,supersurb lyrics na nyingi tu nina subscribe 5000 views milion2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana yake unatumia content zilizotumika sehemu nyingine.

YouTube wanataka original quality content
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom