Nini maana ya profession

Profession ni Taaluma (Kwa Tafsiri) na ni Ujuzi aupatao mtu yeyote, unaomtambulisha, wenye tija kwa jamii na una namna au utaratibu maalumu wa kuutumikia (codes of conduct)

Hii si tu ujuzi bali kazi, ambayo haiishii kwenye kuingiza kipato tuu, bali imethibitika kupitia taaluma fulani inayotambulika kisheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???

Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??
 
Ni sahihi.
Kitaaluma yeye ni mhandisi n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???

Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??
Unaweza kuwa mwalimu but not professionally, kila mtu anaweza kuwa mwalimu but hajawa wakitaaluma, au unaweza kuwa fundi hodari inborn tuseme kama kipawa tu ila hujawa professional yani hujasomea to acquire that knowledge professionally, kwa uelewa wangu ndiyo hivyo, ndiyo maana wanajinasibu kuweka by professional
 
Na kipindi nakua na hata baadhi ya walimu wangu wa elimu ya juu walikuwa wanasema professions zipo tatu tu duniani
1. Doctors
2. Lawyers
3. Engineers

Hiyo imekaaje apo?
 
Mhmhh huyo mwalimu wako alikulisha tango poli, hii ndiyo kasumba ya walimu wanaofundisha kwa kukariri, haipo hivyo ndugu, pitia hoja zilizotangulia utagundua kipi ni kipi
 
Huwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???

Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??
Hakuna mwalimu by professional hapa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom