wakuu habari za jioni? mmekua mkiniacha solemba mnapotumia hayo maneno.tafadhali naombeni maana zake na sources ya hayo maneno ili twende sambamba.asante
Nyoso ni dole,nyumbu ni wana cdm, ekotite ni selfie,hapo kwa nyosso refer tukio la mchezaji wa mpira juma nyossi kumpiga dole mvhezaji mwenzie,hiyo nyumbu inatumiwa na buku7 hapa jamvini kuwaita wana cdm,ekotitee ni wimbo wa koffi olomide wenye maana ya selfie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.