Nini maana ya neno "Mlipukaji"?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,200
1,747
Au ndo msamiati mpya kwangu, je una maana gani?

Au tunajiongezea msamiati mpya katika lugha ya Kiswahili?

Ila kweli kuna wazanzibari na wazanzibara.
 
Yaani kule kwenda Kenya kusaini mkataba hewa wa gesi kama ule wa Chief Mangungo ndio ulipukaji wenyewe huo. Kuna ^me-far-know^ mingi sana.

Benzi ya zawadi kwa Mzee Ruksa ni ulipukaji. Kuahirisha dimba baada ya kuwakwapua raia wema fedha zao huo ni ulipukaji.

Kudai eti ni hatua ya kufungulia nchi ilambwe na mafisi na mafisadi ni ulipukaji. Kwenda kutembelea mradi wa BRT Mbagala bila kuhoji wala kuwajibisha wazembe na wapigaji, ila kuishia tu kusema ^Okaaaay,^ ^Sawa, nitarudi tena kuwakaguakagua^ ndio ulipukaji wenyewe huo.

Kudai wewe na JPM ni kitu kimoja wakati kabisa peni itumikayo hupewa maelekezo ya Mstaafu wa Msoga ni ulipukaji. Kuanza kuhonyoa mali za umma Ikulu kwenye hafla na sherehe binafsi ni ulipukaji.

Kulegeza jitihada za ukusanyaji mapato na kodi ni ulipukaji. Kutotembelea miradi ya kimkakati ni ulipukaji. Kuhutubia tuuuu deile na panga pangua za ghafla zisizokoma ni ulipukaji.

Kuondoka Chattle msibani before wafiwa hawajasema neno la shukrani ni ulipukaji. Kubadili utaratibu wa utawala na usimamiaji wa shughuli na rasilimali za umma, wakati hukuchaguliwa wewe, ila tu umepewa kijiti cha uongozi, ni ulipukaji. And the list goes on and on.
 
Kiswahili kina LAHAJA nyingi.....

Kuongea kwa kulipuka (hard/loud spoken) ni tofauti na kuongea kwa taratibu (soft spoken)....

Kwa hiyo inapotajwa fulani anaongea kwa KULIPUKA ujue ni wale wanaoongea kwa NGUVU ,HARAKA NA KWA SAUTI KUBWA....

Walipukaji pia ni wale watu wanaopenda mashindano ya hoja na wasiorudi nyuma katika kile wanachokiamini (argumentative ).

Mh.Rais SSH yuko sahihi kabisa katika matumizi yake ya LUGHA....

Mathalani neno KUDEMKA lilikuwa ni geni kwa wengi ,ijapokuwa ni neno la KISWAHILI linalotumika sana na WAJUVI wa lugha hii adhimu....

Tunashukuru Mungu kwa Rais wetu mpendwa kutukumbusha neno hilo KUDEMKA.....

NOTE: TUJIFUNZE VYEMA LUGHA YETU YA KISWAHILI.
NCHINI KENYA WATU WANAISHADADIA HUKO MAVYUONI.

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu
 
Yaani kule kwenda Kenya kusaini mkataba hewa wa gesi kama ule wa Chief Mangungo ndio ulipukaji wenyewe huo. Kuna mfano mingi sana.

Benzi ya zawadi kwa Mzee Ruksa ni ulipukaji. Kuahirisha dimba baada ya kuwakwapua raia wema fedha zao huo ni ulipukaji.

Kudai eti ni hatua ya kufungulia nchi ilambwe na mafisi na mafisadi ni ulipukaji. Kwenda kutembelea mradi wa BRT Mbagala bila kuhoji wala kuwajibisha wazembe na wapigaji, ila kuishia tu kusema ^Okaaaay,^ ^Sawa^ ndio ulipukaji wenyewe huo.

Kudai wewe na JPM ni kitu kimoja wakati kabisa peni itumikayo hupewa maelekezo ya Mstaafu wa Msoga ni ulipukaji. Kuanza kuhonyoa mali za umma Ikulu kwenye hafla na sherehe binafsi ni ulipukaji.

Kulegeza jitihada za ukusanyaji mapato na kodi ni ulipukaji. Kutotembelea miradi ya kimkakati ni ulipukaji. Kuhutubia tuuuu deile na panga pangua za ghafla zisizokoma ni ulipukaji.

Kuondoka Chattle msibani before wafiwa hawajasema neno la shukrani ni ulipukaji. Kubadili utaratibu wa utawala na usimamiaji wa shughuli na rasilimali za umma, wakati hukuchaguliwa wewe, ila tu umepewa kijiti cha uongozi, ni ulipukaji. And the list goes on and on.
Ukiwa Mwongo utakumbushwa UKWELI....

MIRADI YA KIMIKAKATI-:

-BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA MPAKA CHONGOLEANI TANGA ni mradi wa kimkakati na mh.Rais alikwenda Uganda na Mh.YKM alikuja hapa nchini....

-MWALIMU NYERERE HEPP

Ni majuzi tu mh.waziri mkuu Kassim Majaliwa alikuwa huko....unadhani PM anajiendea tu?!!.Ikumbukwe mh.Rais ameshaliongelea hilo mara "kibwena".
Ikumbukwe wale ARAB CONTRACTORS wameambiwa mradi ukamilike Juni 2022(mwaka ujao).

-MRADI WA SGR

Tarehe 22/5 mh.Rais SSH amekutana na Mkurugenzi Masanja Kadogosa na katika shukrani zake alizompa Rais ni kumshukuru kwa KUIDHINISHA BILIONI 372 na ushee ili kukamilisha kipande cha kutoka Mwanza-Isaka chenye zaidi ya Kilomita 300 ,je ulitaka afanye nini zaidi ?!!!
Acha "pang'ang'a mkuu 🤣🤣

***********************

Ndani ya SIKU 100 za uongozi wake Mh.Rais SSH atakumbukwa mno kwa kuamua KUAJIRI VIJANA WA KITANZANIA waliokaa mitaani toka mwaka 2012.....fursa hizo zitaanza kwa WALIMU 90,000 na WATUMISHI WA KADA YA AFYA 6000...hili nalo DOGO EEEE?!!!
Ngojea wapate hizo AJIRA halafu ulete "pang'ang'a zako" za kumsema mh.Rais mbele ya nyuso zao.......

Ndani ya SIKU 100 za uongozi wake AMETUFUTIA ONGEZEKO LA TOZO 6% LA MIKOPO YA ELIMU YA JUU kutoka HESLB....hili nalo dogo eeeee?!!!!

Kweli unang'ela pang'ang'a.....!!!!!

Ndio ninyi mkiwa WAZEE mnataka WAJUKUU ZENU waishi kama mlivyoishi nyinyi(copy and paste)....
Unataka ufananishe MARAIS ilihali hawafanani....kwani style ya uongozi ya BABA WA TAIFA inafanana na Rais yupi MWINGINE ?!!!

Kwani BABA WA TAIFA alikuwa anawawajibisha WATENDAJI WABOVU HADHARANI km unavyomshambulia mh.SSH kuwa "amekwenda tu kuzurura kule Mbagala"?!!!

Je Baba wa taifa alikuwa ni dhaifu kwa kuwa hakuwa na tabia ya kuwawajibisha WAZEMBE HADHARANI ?!!!

Wewe unademkia pang'ang'a tu 🤣🤣

#KaziInaendeleaKwaKasiYaAjabu
 
Kudemka ni nini?
 
Yaani kule kwenda Kenya kusaini mkataba hewa wa gesi kama ule wa Chief Mangungo ndio ulipukaji wenyewe huo. Kuna ^me-far-know^ mingi sana.

Benzi ya zawadi kwa Mzee Ruksa ni ulipukaji. Kuahirisha dimba baada ya kuwakwapua raia wema fedha zao huo ni ulipukaji.

Kudai eti ni hatua ya kufungulia nchi ilambwe na mafisi na mafisadi ni ulipukaji. Kwenda kutembelea mradi wa BRT Mbagala bila kuhoji wala kuwajibisha wazembe na wapigaji, ila kuishia tu kusema ^Okaaaay,^ ^Sawa, nitarudi tena kuwakaguakagua^ ndio ulipukaji wenyewe huo.

Kudai wewe na JPM ni kitu kimoja wakati kabisa peni itumikayo hupewa maelekezo ya Mstaafu wa Msoga ni ulipukaji. Kuanza kuhonyoa mali za umma Ikulu kwenye hafla na sherehe binafsi ni ulipukaji.

Kulegeza jitihada za ukusanyaji mapato na kodi ni ulipukaji. Kutotembelea miradi ya kimkakati ni ulipukaji. Kuhutubia tuuuu deile na panga pangua za ghafla zisizokoma ni ulipukaji.

Kuondoka Chattle msibani before wafiwa hawajasema neno la shukrani ni ulipukaji. Kubadili utaratibu wa utawala na usimamiaji wa shughuli na rasilimali za umma, wakati hukuchaguliwa wewe, ila tu umepewa kijiti cha uongozi, ni ulipukaji. And the list goes on and on.
Naona humpendi mama kabisa
 
TAGaz mko hoi balaa na mama
 
Mkuu una hasira unatamani mwenda zake afufuke , Mungu ni fundi ashaona kuwa mwenda zake anako tupeleka sio ila kama vipi kufa sasa hivi ili muonane huko umsimulie hayo uliyoyaandika.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom