Nini hasa maana ya neno MATAGA?

Wanajamvi habari ya asubuhi? Ni matumaini yangu mmeamka vyema, naomba kufahamishwa maana ya neno MATAGA, ahsanteni sana
Ni Make Tanzania Great Again, ila niliwahi kusoma I think page flani Facebook kuwa hii wajuba waliidukua pahala ndio wakaweka Tanzania... Ngoja niingie chimbo naweza kuja na uthibitisho au clue
 
When Tanzania became great? Compared for which country au ni kucopy ya maneno ya wakina Trump
Tanzania ilisha wahi kua great?
Trump alianzisha Make America Great Again - MAGA

Wao lummumba buku 7 wasivyo na akili za kufikiria wakaanzisha Make Tanzania Great Again- MATAGA

Sasa swali ni lini Tanzania ilikuwa Great
Mbwembwe za kisiasa tu mkuu, hata Trump na wafuasi wake wa MAGA, Make America Great Again, wanampinga na kumwambia America haijawahi kushuka kutoka kwenye greatness yake, so ataifanya great again wakati bado Ni great?
 
Kama unavyoona pamoja na kuyaita kwa majina yao, yameendelea kubakia kwenye mashimo yao mithili ya mapanya buku.

Usidhani kuwa hayajayaona mabandiko haya.

"Aroooo, bakini huko huko makapuku nyie."
 
Mataga=ujinga, ukilaza, ufara, ubwege, ulimbukeni,upumbavu, ubwege, uzinzi, wehu, uhuni wa kifara, unafiki, mlopokaji, Kicheche,

Haya Hapo
 
Tanzania ilisha wahi kua great?
kipindi cha mwalim hadi huduma nyingi zilikua bure kulikua hadi na mabasi ya mwendokasi malefu kama haya yalikua yanaitwa ikalusi kazi zilikua nje nje ukimaliza form four tu unachagua ukafanye kazi shirika gani na walikua wanawafata shuleni
 
Back
Top Bottom