Nini hasa maana ya neno MATAGA?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo.

Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa "GREAT" uko nyuma? Na kama ni kweli iliwahii kuwa ilikuwa Lini? Na nchi ilikuwaje?

Naomba Kuwasilisha.
 
Wanajamvi habari ya asubuhi? Ni matumaini yangu mmeamka vyema, naomba kufahamishwa maana ya neno MATAGA, ahsanteni sana

Mkuu Mataga ni watu. Maskani yao iko mtaa fulani maarufu dar. Hulipwa buku kadhaa kwa kazi yao pendwa.

Naomba nisiwasemee sana.

Watakuja wenyewe bila shaka kwa utambulisho kamili. Amini usiamini watakuwa bandiko lako washaliona.

Magonjwa matambuka, jingaletu, Soviet Union, the lager and the team mkuje. Mnaitwa huku!
 
Mkuu tusaidiane kujua maana yake na kwanini wanaitwa hivyo?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom