Nini maana ya neno inflation ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya neno inflation ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mswahela, Nov 16, 2010.

 1. M

  Mswahela Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [/FONT

  Wachumi naomba mnisaidie maana kamili ya neno Inflation kwani naona bei za vitu zinazidi kupanda lakini anakuja afisa mzito wa Serikali/Takwimu anasema Inflation au mfumuko wa bei unazidi kupungua. Hilo mimi silielewi kwa lugha ya kawaida. Msaada tafadhali.
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33


  Inflation ni nomino ya kitendo "inflate" ambacho kinamaanisha kujaza/kuongeza. Katika masuala ya uchumi na hususani bei za bidhaa, "inflation" humaanisha ongezeko/mfumuko la bei kutoka kipindi kimoja mpaka kingine na mara nyingi hii huwa toka kipindi fulani mwaka fulani mpaka kipindi kinachoshabihiana mwaka mwingine. Mwenendo wa bei ukiwa chanya basi ndio neno "inflation" linatumika na likiwa hasi, kinyume cha "infaltion" kinachoitwa "deflation" hutumika.

  Mfumuko huu wa bei huonyeshwa kwa kutumia asilimia. Kwa mfano kama mfumuko wa bei ya mkate kwa mwezi Oktoba ni asilimia 5, hii humaanisha kuwa bei ya mkate imeongezeka kwa asilimia 5 mwezi Oktoba 2010 ukilinganisha na ile ya mkate mwezi Oktoba 2009.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mfumuko wa Bei (Inflation) maana yake ni hali ya fedha kibao zinazofukuzia bidhaa chache katika soko husika, na kipindi maalum.
   
 4. N

  NSUMUKA Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ALSO WE SHOULD NOTE THAT NOT ALL INFLATIONS AND/OR INCREASE IN PRICES ARE BAD.SOME HAS ADVANTAGE OF CHECKING ECONOMIC GROWTH AND MONEY IN CIRCULATION.ALSO SOME INFLATION STIMULATES PRODUCTIVITY OF GOODS AND SERVICES.INFLATION CAN ALSO BE TEMPORAL eg ONE MONTH,OR TWO MONTHS,THEREAFTER OTHER ECONOMIC FACTORS ADJUSTS THE SITUATIONS.

  NOTE THAT SCARCITY OF PRODUCTS AND SERVICES,AND MORE IMPORTS OF GOODS AND SERVICES AND LESS EXPORTS,MEANS LESS REVENUE IN FOREX AND HIGH PAYMENT IN FOREX CAN CAUSE INFATION.

  USUALLY WE EXPECT DIRING RAIN SEASONS, AGRICULTURAL PRODUCTS TO BE SOLD IN HIGH PRICES DUE TO SCARCITY THAN DURING HARVESTING PERIOD.WE HAVE ALSO DEMAND AND SUPPLY FACTORS, AS AFFECTS THE MARKET OF GOODS AND SERVICES.
   
Loading...