Nini maana ya nationa security wajameni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini maana ya nationa security wajameni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAPECHA, Jun 25, 2009.

 1. K

  KAPECHA Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi Team na watanzania wengine kwa ujumla,

  nini maana neno nililolisema hapo juu. na kwenye katiba ni wapi limeandikwa na sheria inalitafsiri vipi. Kwa maana kila Wabunge wakiuliza KAGODA WANAAMBIWA HATURUHUSIWI KUONGEA KWANI NI INAHATARISHA NATIONAL SECURITY. UKIIULIZA MEREMETA UTAAMBIWA NATIONAL SECURITY, DEEP GREEN NAYO NATIONAL SECURITY, TANAPA NAYO NATIONAL SECURITY. VIPI HUYU NATIONA SECURITY NI NANI HASA MPAKA WASOMI NA WATANZANIA WOTE ATUTETEMESHE TUSHINDWE KUFINGA NA KUIDENTIFY MAOVU YOTE YA CCM.

  JAMANI KWA LEO SINA MENGI

  TANZANIA FOR TANZANIANS AT HOME AND ABROAD: KAPECHA
   
Loading...