Nini maana ya msemo " Riziki Mafungu Saba"

Falsafa hii ina maana kwamba mtu ana njia nyingi/kazi nyingi/ deal nyingi/ sehemu nyingi/ watu wengi/ nafasi nyingi nk za kumwezesha kujikumu kimaisha.

Kwahiyo umekosa hapa, au kunyimwa na yule, au kushindwa kule jaribu kutafute kwingine au kivingine utafanikiwa sio kung'ang'ania hapo hapo.
 
Falsafa hii ina maana kwamba mtu ana njia nyingi/kazi nyingi/ deal nyingi/ sehemu nyingi/ watu wengi/ nafasi nyingi nk za kumwezesha kujikumu kimaisha. Kwahiyo umekosa hapa, au kunyimwa na yule, au kushindwa kule jaribu kutafute kwingine au kivingine utafanikiwa sio kung'ang'ania hapo hapo.
umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio ridhiki mafungu saba,ridhiki ni matundu saba,mawili ya masikio,mawili ya pua,moja la mdomo,moja la haja ndogo na moja la haja kubwa,Mungu hawezi yafunga matundu yote hayo ukiwa hai,hata likifungwa hili lingine litakuwa wazi,kwahiyo tusikate tamaa wala kulaumu
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom