Nini maana ya msemo kazi ni kipimo cha utu

Mjomba Fujo

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
997
1,000
Ukifanya kazi utapata pesa/ au chakula kama ni kilimo.

Pesa itatumika kutimiza mahitaji yako na wanaokutegemea, kitendo cha kutimiza mahitaji ya wanaokutegemea ni wajibu na pia ni uungwana, huwezi kuwa na utu kama si muungwana.

Sasa umepata correlation ya hizo terms kazi, kipimo na utu?
 
Extra miles

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
1,888
2,000
Inamaanisha kazi yako ndio kipimo cha kupewa heshima na watu wengine.
Mfano ni mfanyakazi mwenye mshahara wa mamilioni na mwenye mshahara wa laki kwa dunia ya sasa
 
May 11, 2013
95
125
Inamaanisha kazi yako ndio kipimo cha kupewa heshima na watu wengine.
Mfano ni mfanyakazi mwenye mshahara wa mamilioni na mwenye mshahara wa laki kwa dunia ya sasa
Hapana mkuu, suala si mshahara, hii ni kauli ya kuhimiza watu kufanya kazi, haina maana ya kuwatofautisha kwa kipato. Maana ni moja tu unauheshimu utu wako au watu watauheshimu utu wako kwa wewe kufanya kazi
 
yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
18,257
2,000
Ukifanya kazi utapata pesa/ au chakula kama ni kilimo.

Pesa itatumika kutimiza mahitaji yako na wanaokutegemea, kitendo cha kutimiza mahitaji ya wanaokutegemea ni wajibu na pia ni uungwana, huwezi kuwa na utu kama si muungwana.

Sasa umepata correlation ya hizo terms kazi, kipimo na utu?
🙏
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
4,417
2,000
Ombaomba inashusha utu! Ukifanya kazi halali hutaomba! Unapata kipato na mkono unaingia kinywani kihalali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom