nini maana ya MMU ki-jamii Forums

ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35
Kuna vifupi wadau wanavitumia humu ndani kama..MMU, JP/JM mi wananiacha kila wanapotumia hivyo sababu saa nyingne ujumbe wote upo ndani ya hivyo vifupi! nielewesheni wana-jamii forums
 
Jibu unalo mwenyewe, angalia idadi ya post zako na muda tangu ujiunge. Hovyooooooooooooooo! Mapenzi, Mahusiano na Urafiki (MMU). Next time ntakutandika bakora
 
Jibu unalo mwenyewe, angalia idadi ya post zako na muda tangu ujiunge. Hovyooooooooooooooo! Mapenzi, Mahusiano na Urafiki (MMU). Next time ntakutandika bakora
Mkuu mimi bakora sina neno nazo kama hiyo ndo gharama ya kujifunza....na Rep power nini mkali, then kuna hiyo title hapo pembeni ya avatar naona inabadilika automatically...how does it work?
 
Duh! hivyo virefu mnavyotoa hapo mnaelekea kutukana sasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom