Mimi kwa uelewa wangu maana ya mkutano ni pale AGENDA zinawekwa mezani na Mwenyekiti na hatimaye kujadiliwa kwa wale watakaopenda kutoa hoja zao juu ya agenda husika na baadaye wajumbe kwa pamoja aidha kupiga kura nk.
Kwenye Mkutano wa leo wa CCM sijui kama wajumbe wa Mkutano Mkuu walijadili agenda walizopewa leo na baadaye kukubaliana nazo au NDIYO inatawala bila wenyewe kuzipitia, kujadili na hata kuuliza maswali pale mjumbe atakapokuwa hajaelewa agenda husika.
Kwa mawazo yangu mimi naona siyo utaratibu mzuri na inawanyima wajumbe wengine demokrasia wa kujadili, kuuliza maswali n.k.