Nini maana ya MANJONJO??

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Kuna Thread moja ameianzisha Pakajimmy ya waziri wa Kenya anaitwa Njonjo ambaye hapandi ndege inayoendeshwa na mswahili na anajuta kuzaliwa mswahili, tukija katika swali langu la manjojo, hili neno lina uhusiano na huyu waziri Njonjo?? au lina maana gani? cause nimewahi kuwasikia watu wakisema: "naye huyu ana manjonjo"
 
manjonjo yaani dah!MAKACHUMBARI FULANI HIVI,MADIKODIKO,MATUNTEN TUNTEN,MA HEBEN HEBEN FULANI HIVI KAMA VIONJO VIONJO KIAINA FULANI MA FLEVA FLEVA HIVI....

dah!naona sieleweki
 
unaeleweka sanaaaaaaaa,I like it!!!!!!!
manjonjo yaani dah!MAKACHUMBARI FULANI HIVI,MADIKODIKO,MATUNTEN TUNTEN,MA HEBEN HEBEN FULANI HIVI KAMA VIONJO VIONJO KIAINA FULANI MA FLEVA FLEVA HIVI....

dah!naona sieleweki
 
Back
Top Bottom