KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,213
- 56,849
Habarini humu waungwana?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja yangu inakuja Kama ni mdukuzi akidukuwa kwani hiyo nywira wanayoiita ngumu hawezi kuiona?
Maana katika kumbukumbu zangu hapahapa bongo kuna chuo website yake ilikuwa hacked yani password na jina la mtu vikawa vinaonekana njenje ukichukua ukaweka ngoma ina log in!!..😂
Sasa kwa mambo Kama haya Kuna umaana upi wa kuwa na strong password ikiwa vinaweza kudukuliwa...??