Nini maana ya kutoa shilingi??Je ina athari gani kwa waziri husika??

Nkondo 2

Senior Member
Oct 10, 2016
180
140
Huu n msemo unaotumiwa sana bungeni pale wabunge wanapo changia juu ya bajet ya wizara iliyowasilishwa na waziri husika bungeni.
Naomba kufahamishwa yafuatayo;
Nini maana ya kutoa shilingi??
Je inaathar gan kwa wazir husika??
 
Back
Top Bottom