Nini maana ya kustaafu; Je mtumishi wa umma anaweza kustaafu utumishi Mara ngapi?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey mwanri Kastaafu, Na nafasi yake imerithiwa na Mstaafu!

Swali; Je; Mtumishi wa umma anaruhusiwa kustaafu Mara ngapi?
 
Kuna tafsiri mchanyato kuhusu 'Mtumishi wa umma'

Ila nijuavyo mimi, nafasi ambazo ni za kisiasa mf. Ubunge, Ukuu wa mikoa, wilaya, mawaziri na manaibu wao n.k. SIO watumishi wa umma. Ndo maana katika sakata la vyeti feki makundi yote hayo hayakuguswa. Hawa sio PERMANENT &PENSIONABLE. Sijawahi kusikia eti kuna mtu anakula pension kwa kuwa alikuwa ni Mkuu wa wilaya, mbunge n.k.

Nafasi za kitaalamu kama Makatibu wakuu wa wilaya na mikoa na wizara, waalimu, madaktari na manesi n.k. ndio UTUMISHI WA UMMA. Hawa ni PERMANENT & PENSIONABLE.

Kadhalika kuna sifa nyingi ambazo hutofautisha makundi hayo mawili.

Vinginevyo, kuwepo na tafsiri zisizo rasmi. Maana kuna mahali niliwahi kusikia eti hata mwendesha boda boda, taxi, makonda na madereva wa daladala n.k. eti ni watumishi wa umma pia.

Hivyo Mtumishi wa umma (wale wataalamu) hawezi kustaafu kwa zaidi ya mara moja.
 
Vipi kuhusu aliyemrithi Agrey mwaniri! si alikuwa ameshastaafu utumishi, je kapewaje mamlaka mstaafu kumrithi mstaafu?
 
Kuna makundi mawili hapo juu. Kundi la utumishi wa umma kupitia siasa na utaalamu.

Kundi la utaalamu kustaafu ni miaka 60. Kwa maprofesa na madaktari (PhD) ni miaka 65.

Kundi la siasa HALINA KUSTAAFU kwa maana ya miaka 60 au 65. Anaweza mtu akawa na miaka 63 akateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa.

Endapo mtu alikuwa Mtumishi kwa utaalamu, akateuliwa nafasi za kisiasa, muda wake wa ukomo wa kustaafu 'kiutaalamu' ni miaka 60 au 65.

Akishastaafu kwa utaalamu wake, anaweza kuingia katika utumishi wa umma kupitia siasa. Mf. Tu naona wengi wa wabunge na wakuu wa mikoa ni WAZEE (yaani juu ya 60).

Na endapo Mtaalamu aliyeteuliwa nafasi ya kisiasa akiondolewa (akitumbuliwa), huyu anarudi katika nafasi yake ya kwanza ya utaalamu wake endapo tu kama umri wake ni chini ya 60 au 65.

Mf. Kama mwalimu (wa ngazi yeyote) akiwa na miaka 53 akateuliwa kuwa Mkuu wa wilaya.

(i) akiondolewa UKUU wa wilaya, basi atarudi kuwa mwalimu kwa ngazi yake ya mwisho mpaka afike 60 ili astaafu kwa mujibu wa sheria.

(ii) akidumu na huo UKUU wa wilaya mpaka miaka 60, huyu atatakiwa kustaafu kwanza ule utumishi wa utaalamu.
Baada ya hapo anaweza kuteuliwa (kisiasa) tena kwa cheo chochote cha juu au hicho hicho
 
Umeeleza vyema Sana! Je; Unaionaje ishu ya Agrey Mwaniri kustaafu!
 
Mwanri ana zaidi ya miaka 60, hivyo utumishi wa umma aliisha staafu mitambo. Kwa sasa alikuwa anatumikia nafasi ya kisiasa ambayo haina ukomo wa umri kustaafu. Kustaafu nafasi ya kisiasa unataka mwenyewe au unastaafishwa na aliyekuteua.
 
Wengine siyo watumishi wa umma ni watawala,kazi yao ni kutawala na kuwatumikisha watumishi wa umma.
 
Umeeleza vyema Sana! Je; Unaionaje ishu ya Agrey Mwaniri kustaafu!
Aggrey Mwanri ana miaka 65 anastaafu wakati Philemon Sengati miaka 69 bado yupo kazini. Yule wa Dom atakuwa na 70+ ila yupo kazini pia, na wengine wengi.

Usipasue kichwa Mkuu, wote hao ni nafasi za kisiasa.
 
Back
Top Bottom