Elections 2010 Nini Maana ya kusaini Form za kukubali Matokeo ya Uchaguzi

rushembo

Member
Nov 3, 2010
10
0
Katika sheria za uchaguzi ni kwamba baada ya matokeo kutoka kila mgombea anapaswa kusaini kukubali matokeo, nauliza iwapo mgombea hakukubali matokeo na kagoma kusaini nini kinafuata. Maana katika uchaguzi uliopita Dr. Slaa hakusaini yale matokeo na mchakato wa kuapishana unakendelea hiivi hamuoni kuwa hiki kifungu hakina maana??
 
Jibu ni moja mkuu there is no democracy in this country ni udicteta uliofunikwa na amani ya kinafiki tu.
 
Back
Top Bottom