Nini maana ya kumpa mtoto jina Junior?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?
 
Majibu unayo mwenyewe, nashangaa unavyozunguka kivuli chako mwenyewe!
 
kwa mfano kama wewe unaitwa hamisi makande mohamedi na mwanao unapenda kumrudishia jina lako la hamisi then wewe utakuwa hamisi sinior na yeye atakuwa hamisi junior.sasa kufupisha ndio watu wanaita junior.
 
hilo jina ni katika majina ambayo siwezi kumpa mwanangu kwa sababu linaonesha low profile ya mtoto. wengi wamekuwa wakiwaita watoto wao junior from no where eti kwa sababu tu jina wanalipenda. kuna shemeji yangu alitaka mwanangu aitwe Junior nikasema that is totally impossible...ni bora mwanao umpe majna kama Victor, Glory nk.
 
kwa mfano kama wewe unaitwa hamisi makande mohamedi na mwanao unapenda kumrudishia jina lako la hamisi then wewe utakuwa hamisi sinior na yeye atakuwa hamisi junior.sasa kufupisha ndio watu wanaita junior.
Tuko hili ndilo jibu, kwani kuna Makabila na jamii mbalimbali zina utaratibu wao niseme wa kizamani wa kutoa majina, kwa mfano nyie kina Masamaki, Mang'ombe, Mapunda, Matembo, Madagaa nk ni majina ya watu na ukoo wao na ni halali kabisa
Kuna jamii nyingine wanakuambia mpatie Baba na Mama yenu majina ya watoto kwa mfano
  • mtoto wa kwanza atakayezaliwa atapewa majina ya upande wa mwanamume awe wa kike au wa kiume na atakayefuata,
  • ila kama wa kwanza na wa pili walikuwa mwanamume na mwanamke akija wa tatu na wanne ndio zamu ya mwanamke
  • sasa km wewe Baba ukipata kidume chako na ukakataa kutoa majina hayo ya mbali unampa jina lako ili lisipotee kwa kumpa Junior na wewe ukiwa Senior
Kwa Mwanamke kutopewa umuhimu wa majina hii inatokana na mifumo ya asili ya vizazi kwani mwanamke anaweza zunguka hata koo nne tofauti akazaa huko watoto. Hapo ndio tatizo inabidi watoto wabaki kwa majina ya Baba zao (hii ni topic ingine ndefu)
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuna majina mengi sana ya junior kwa sasa na yamejisimamia yenyewe tu junior hvyo2.nafikiri ni tabia tu kuiga imezidi unaskia jina kwenye moves au kwa watu wengine na kulibambika kwa mtoto bila kujua maana yake. Jina mara nyingi lina beba taswira nzima ya maisha ya mtu yanavhokuwa,linaweza kuwa na mwanga maishani au likawa giza,na kama ni umerithishwa jina toka kwa mtu fulanu ie. Babu,bibi, ukafanana na maisha aliyoishi either mabaya au mazuri.
Kwa hiyo hili jina junior pia si ajabu wakawa majunior katika mambo yote. Cha msingi tuwe makini ktk kuwatafutia watoto wetu majina.
Nimemsikia mtu mwanawe jina Junior ndio jina kabisa. Hana jengine.

Ni katika kuiga tamaduni za watu bila ya kuzielewa tu
 
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?

Huu ni mfumo tu wa kutoa jina ambao jamii au familia husika imeamua kuufuata. Hauna ubaya wala madhara wa faida yeyote katika jamii, maana jina bado ni jina tu. Kama mtu kajikubali na anapenda mtoto wake achukue jina lake la mwanzo, ndiyo ishu ya kuitana Junior and Senior inapokuja. Mfano wewe ni Maiko, mwanao unaweza kumuita pia Maiko. Kutofautisha Maiko wewe na mwanao, basi kumuita mwanao tutatumia Maiko Junior au kwa kifupi Junior.
 
So, you are thinking of naming your baby after his dad and you’re wondering if your little boy would be considered a junior? Technically, if you want your baby to be a junior, you would need to use the dad’s first, middle and last name. Using a different middle or last name, would no longer be considered a junior. Some parents still call their child a junior even if his name doesn’t meet these requirements, but a son is not generally considered junior unless he is using the dad’s full name........Sosi: Naming a child after his father - When is he a junior?
 
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?

Nilishawahi kutolea ufafanuzi suala hili kutokana na wengi wetu kuwa na majina ya kikasumba tu bila kujua maana na matumizi ya majina hayo kwa usahihi, mfano ni Nape Mnauye ambaye anajiita Jr. Ni makosa kwani Jr huongezwa kwenye jina la kwanza la mtoto wa kiume linalofanana na jina la kwanza la baba mzazi. Hivyo ili kuwatofautisha mwishoni mwa majina huweka Jr. kwa mtoto na Sr kama sijakosea spelling kwa baba.

Maana ya Jr katika dictionary ni kama ifuatavyo:

Junior, Jr, Jnr(noun)
a son who has the same first name as his father

Hivyo basi pale jina la kwanza la baba mzazi linapotajwa ili kutofautisha na mwanaye ambaye ana jina hilo hilo la kwanza la babake mzazi, basi baada ya jina huongezwa
Sr lenye maana ya Senior kwa baba mzazi, kwa maana ya mkuu, mkubwa nk wakati mwanae ni Jr kwa maana ya kijana.

Nataraji kwa ufafanuzi huu wengi watajifunza na kujizoesha maana, matumizi sahihi ya maneno haya.

Kwa watoto wa kike sijawahi kusikia po pote wala kuandikwa popote kuhusu hilo.
 
Kwanini umuite mtoto wako jina sawa na la kwako? Nao ni umbumbu pia.........
 
watu wa bongo ni wa ajabu sana tunaiga mpaka tunapitiliza....unakuta mtoto anaitwa simply Junior, wala haina maana sawa na uliyoeleza hapa.....kwetu sisi kwa ujinga wetu tunaamini Junior ni udogo....mpaka Maprofesa wa Vyuo Vikuu wanawaita watoto wao hivyo.....Tumeiga milegezo na vimini sasa tumeamia ujinga wa majina......

Sasa mkuu huoni huo utakuwa ubinafsi? Kwa nini umuite mtoto wako jina lako mwenyewe?!!! Maana kama wewe unaitwa Maiko, ukamuita mwanao Maiko, je na yeye akiamua kumuita mwanaye Maiko, huyo mwanae ataitwa Maiko jr jr?..,
 
watu wa bongo ni wa ajabu sana tunaiga mpaka tunapitiliza....unakuta mtoto anaitwa simply Junior, wala haina maana sawa na uliyoeleza hapa.....kwetu sisi kwa ujinga wetu tunaamini Junior ni udogo....mpaka Maprofesa wa Vyuo Vikuu wanawaita watoto wao hivyo.....Tumeiga milegezo na vimini sasa tumeamia ujinga wa majina......
Kweli kabisa mkuu, wapo wengi tu unakuta mtoto anaitwa tu Junior!!! Hivi siku akienda jeshini akawa na cheo cha Senior supritendant... Watamuita senior supretendant junior?!...
 
Hao 'majuniaz' wakikua na kuhave kids hao kids watakuwa double juniaz au?

I think fathers are just trying to live their lives over thru a kid...give a kid his own name...my mawazo tu

Kweli kabisa tuwape nafasi watoto waishi maisha yao.

Unamtia mtoto mzigo tu usio na maana akimcheki baba mafanikio kibao akijiangalia yeye yupo darasa la sita hadi anaanza kuogopa anakata tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom