Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Siku hizi umezuka mtindo wa baadhi ya watu kuwaita watoto wao Junior. Kwa ninavyoelewa mimi junior ni mamlaka ambayo iko chini ya mamlaka nyingine juu yake (senior). Sasa ni nini mantiki ya kuwapa watoto jina hilo? Au wanamaanisha sawa na kulivyokuwa George Bush baba akiwa raisi, then mwanawe alipokuwa raisi ikabidi watu wawe wananrefer kama Bush junior?
Sasa mimi huku unakuta naitwa Maiko Masamaki, mwanangu namuita Junior!, junior what? Kama yeye ni junior kwangu, mimi si junior kwa baba yangu pia? Au ukoo unaanzia kwangu? Hivi G. Bush "Junior" angekuwa na mtoto nae akaitwa G. Bush, alafu akaja kuwa raisi ataitwaje, Junior square au?
Alafu ni kwa nini mara nyingi ni watoto wa kiume tu wanaitwa Junior?!!! Wa kike hawawezi kuwa junior kwa mama zao?