Nini maana ya kauli hizi 'janga la njaa' na 'uhaba wa chakula'?

Makena

Member
Jul 11, 2015
24
7
Wilaya yangu haina janga la njaa bali inauhaba wa chakula. Nini tofauti ya kauli hizi mbili?
 
Janga la njaa = ni pale chakula kinapokosekana na kufikia hatua ya watu kufa kwa kukosa chakula.

Uhaba wa chakula = upungufu wa chakula kulingana na mahitaji halisi.

Nimejaribu!
 
Umeweza na pia uhaba wa chakula hupelekea janga la njaa
 
Back
Top Bottom